Inakuwaje mtu anamaliza degree hajui kuongea English?

Watanzania tunakichukia kiingereza kwakuwa hatukijui
 
Inaonekana kuna watu wanaamini huko mjini UK hakunaga vilaza wanao feli vyuoni kwasababu wote wanatema yai [emoji23][emoji23]
 
Mama kwani wanao tutenga si wao, na wanaosisitiza lugha si wao na wanaofanya waonekane hawajui kuongea ni wao. Ni kaujinga tu ka ubaguzi na kujiona wao ndio wajanja sanaaa.

Sasa ubaguzi gani kama umetumia English kuanzia form 1 leo unamaliza chuo hujui English halafu unasingizia wazungu kwa uvivu na uzembe binafsi
 
malecturer wanafundisha English ?
Kujua kuongea English ni kipimo cha Kuwa unazo kichwani even Indians au chinese wasomi English kwao ni shida sana (lugha bila practice ya kuongea uongo sana)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…