Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una umri gani?Wanaume tuweni serious tusicheze na hisia za wachumba zetu, nashangaa kuona mtu anatoa mpaka posa anapangiwa mahali halafu anamkimbia bint hamuoi anaenda kuoa mwanamke mwingine, sijui tatizo huwa ni nini.
Kwanini Si mtu anaruhusiwa kubadilisha mawazo?Ukinifanyia hivi Mimi au binti yangu nakuhakikishia wewe na ndugu zako hamtokaa mnisahau kamwe.[emoji2955]
Uzuri wake huwezi mfanyia mtu anayejitambua mambo mabaya wala ushirikina, yaani mtu atoe mil. 5 alafu huna bikra yoyote?Ukinifanyia hivi Mimi au binti yangu nakuhakikishia wewe na ndugu zako hamtokaa mnisahau kamwe.[emoji2955]
Kukuacha ni halali, sasa kama mfuko wake hauruhusu , ndo ajilazimishe?Haikatazwi kubadilisha mawazo mkuu. Lakini kwann hadi afikie hatua kubwa kama hiyo afu aniache solemba[emoji848]. Aisee asinijaribu kabisa
Dah😂 mil 100 haaaa huyo ataolewa na babake tu amna namnaIpo posa tulimpeleka mshkaji flani 2 yrs ago, ke alikuwa rubani, tulipokelewa vizuri kufikia mahari jamaa akapigwa bill ya 100M , ndio hujakosea ulichosoma millioni mia moja ,alipotoka pale alienda moja kwa moja mazima hajarudi hadi leo.
Tunavoongea ameoa bank teller wa CRDB mahari alitoa millioni tano tena alitaka yy,hawakumpangia bei ,
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Wazee wa ushirikina kama kawaida yakoHuyo muhusika anitafute nimfundishe jambo.
Hamna kitu wanaweza kunifanya Kwanza binti mwenyewe wakati anasoma chuo alikua anaishi Kama mke na mhuni halafu mi nije nibebe. No wayHuyo muhusika anitafute nimfundishe jambo.
M100 nyingi mnoIpo posa tulimpeleka mshkaji flani 2 yrs ago, ke alikuwa rubani, tulipokelewa vizuri kufikia mahari jamaa akapigwa bill ya 100M , ndio hujakosea ulichosoma millioni mia moja ,alipotoka pale alienda moja kwa moja mazima hajarudi hadi leo.
Tunavoongea ameoa bank teller wa CRDB mahari alitoa millioni tano tena alitaka yy,hawakumpangia bei ,
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Kama mahali ni kubwa na mmegoma kupunguza, afanyeje?Ukinifanyia hivi Mimi au binti yangu nakuhakikishia wewe na ndugu zako hamtokaa mnisahau kamwe.[emoji2955]
Nguvu hizi waafrica tungetumia kuendeleza maifa yetu tungekua kama kalifonyaUkinifanyia hivi Mimi au binti yangu nakuhakikishia wewe na ndugu zako hamtokaa mnisahau kamwe.[emoji2955]
Kuachwa unaachwa na hakuna kitu unaweza kunifanya. Narudia tena kwa herufi kubwa, HAKUNA KITU UNAWEZA KUNIFANYASasa kama ulilijua hilo kwann ulienda kuposa?