Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Kiswahili mtihani.Anapangiwa mahali gani? Mahali pa kuishi, kufanya kazi au mahali pa kutembea?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiswahili mtihani.Anapangiwa mahali gani? Mahali pa kuishi, kufanya kazi au mahali pa kutembea?
Uyo rubani kaolewa na aliens?Ipo posa tulimpeleka mshkaji flani 2 yrs ago, ke alikuwa rubani, tulipokelewa vizuri kufikia mahari jamaa akapigwa bill ya 100M , ndio hujakosea ulichosoma millioni mia moja ,alipotoka pale alienda moja kwa moja mazima hajarudi hadi leo.
Tunavoongea ameoa bank teller wa CRDB mahari alitoa millioni tano tena alitaka yy,hawakumpangia bei ,
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Njaa mbaya na tamaa za kifala za mabinti wa familia za kijinga ndio maana wahuni wanaishi uchumba Sugu piga mimba mfululizo mpaka wazee wanaona eeeh leteni tu hata hio Million 1 inatutosha mchukue muoe tu,Mtu hawezi ghaili bila sababu,unakuta vikwazo toka kwa mwanamke au familia ndio sababu...ilitokea jamaa wamekaa kwenye uchumba na binti 3yrs,binti anakaribia kumaliza masomo akamwambia jamaa katoe mahali,jamaa akaenda na mshanga na wazaz kutoa mahali,..familia ikasema mila yetu mahali tutachukua siku ya harusi,..jamaa kajipanga kwa harusi miezi 3 binti kagoma kuolewa mpk afanye kazi mwaka 1 ndio wafunge ndoa,jamaa akaamua kuachana nae...baada ya muda binti na wazazi wanamtafuta jamaa,..binti akachanganyikiwa kwamba jamaa kamuaibisha...nani anakosa hapo?
Mkuu mambo ya mahusiano ni siri ya wawili,Wanaume tuweni serious tusicheze na hisia za wachumba zetu, nashangaa kuona mtu anatoa mpaka posa anapangiwa mahali halafu anamkimbia bint hamuoi anaenda kuoa mwanamke mwingine, sijui tatizo huwa ni nini.
Opportunity Cost imetumika vizur practically. Jamaa alikua practical ya uchumi na BiasharaWanaume tuweni serious tusicheze na hisia za wachumba zetu, nashangaa kuona mtu anatoa mpaka posa anapangiwa mahali halafu anamkimbia bint hamuoi anaenda kuoa mwanamke mwingine, sijui tatizo huwa ni nini.
HahahahaUyo rubani kaolewa na aliens?
Ata iyo tano kubwa..adai m3 yake ..ukweni wabaki na m2Ipo posa tulimpeleka mshkaji flani 2 yrs ago, ke alikuwa rubani, tulipokelewa vizuri kufikia mahari jamaa akapigwa bill ya 100M , ndio hujakosea ulichosoma millioni mia moja ,alipotoka pale alienda moja kwa moja mazima hajarudi hadi leo.
Tunavoongea ameoa bank teller wa CRDB mahari alitoa millioni tano tena alitaka yy,hawakumpangia bei ,
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Baadhi wa Wanawake hawanaga akili kabisaMtu hawezi ghaili bila sababu,unakuta vikwazo toka kwa mwanamke au familia ndio sababu...ilitokea jamaa wamekaa kwenye uchumba na binti 3yrs,binti anakaribia kumaliza masomo akamwambia jamaa katoe mahali,jamaa akaenda na mshanga na wazaz kutoa mahali,..familia ikasema mila yetu mahali tutachukua siku ya harusi,..jamaa kajipanga kwa harusi miezi 3 binti kagoma kuolewa mpk afanye kazi mwaka 1 ndio wafunge ndoa,jamaa akaamua kuachana nae...baada ya muda binti na wazazi wanamtafuta jamaa,..binti akachanganyikiwa kwamba jamaa kamuaibisha...nani anakosa hapo?
Milioni tano bado kubwa sana.Ipo posa tulimpeleka mshkaji flani 2 yrs ago, ke alikuwa rubani, tulipokelewa vizuri kufikia mahari jamaa akapigwa bill ya 100M , ndio hujakosea ulichosoma millioni mia moja ,alipotoka pale alienda moja kwa moja mazima hajarudi hadi leo.
Tunavoongea ameoa bank teller wa CRDB mahari alitoa millioni tano tena alitaka yy,hawakumpangia bei ,
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
sahihi kabsa ingekuwa hata tsh800,000\= fresh wajue na wao hali imekua ngumu sanaMilioni tano bado kubwa sana.
🤣🤣🤣🤣 Daaaah🙌🙌🙌Ulivomuuliza huyo mwanaume akasemaje kuhusu kukukimbia.?
800k reasonable sana.sahihi kabsa ingekuwa hata tsh800,000\= fresh wajue na wao hali imekua ngumu sana