Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Walikuwa wana asili ya kuchanganyikiwa kabla hata kijana hajawafahamu.Huyo bint na wazazi wake ni vichaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walikuwa wana asili ya kuchanganyikiwa kabla hata kijana hajawafahamu.Huyo bint na wazazi wake ni vichaa
Lazima huyo jamaa ana sababu za msingi sana, sio bureKuna binti wa jirani yetu hapa mkuu
kwa mfano wewe unamuona binti unavutiwa nae unaona afaa kujenga familia nawe, unapata kumajua wa kwao na unatoa posa ghafla booom !! Unaanza kumuona rangi zake halisi, mjuaji, kisa amesoma. Jeuri hapana kifani kisa anakaajira.Wanaume tuweni serious tusicheze na hisia za wachumba zetu, nashangaa kuona mtu anatoa mpaka posa anapangiwa mahali halafu anamkimbia bint hamuoi anaenda kuoa mwanamke mwingine, sijui tatizo huwa ni nini.
Mjadala ufungwe hapa. Mtoa mada je unaswali jingine ?Tatizo ni wanawake wenyewe
Uyo nae alipotea,Ipo posa tulimpeleka mshkaji flani 2 yrs ago, ke alikuwa rubani, tulipokelewa vizuri kufikia mahari jamaa akapigwa bill ya 100M , ndio hujakosea ulichosoma millioni mia moja ,alipotoka pale alienda moja kwa moja mazima hajarudi hadi leo.
Tunavoongea ameoa bank teller wa CRDB mahari alitoa millioni tano tena alitaka yy,hawakumpangia bei ,
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Huyo single maza watoto wa4+.Duh, aisee...hizi Mahali zinasababisha shida kwakweli
Hapo kwakweli Dem anakuwa amezingua...utolewe posa halafu uendelee na umalaya hii haikubalikiHizo uswahilini tunaita barua tomb*. Unapeleka barua demu analainika anatoa mzigo any time akitarajia ndoa then mwana anapotea. Nilisikia Buza hizi story.
🤣Tayari hiiHii imeenda!
[emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28]Binti yako agongwe toka sekondari hadi chuo,then watu waje uwapangie mahari utasema ni bikira,......kua serious