Inakuwaje mtu anatoa posa then anapangiwa mahali halafu anapotelea mitini? (Haoi)

Inakuwaje mtu anatoa posa then anapangiwa mahali halafu anapotelea mitini? (Haoi)

Ipo posa tulimpeleka mshkaji flani 2 yrs ago, ke alikuwa rubani, tulipokelewa vizuri kufikia mahari jamaa akapigwa bill ya 100M , ndio hujakosea ulichosoma millioni mia moja ,alipotoka pale alienda moja kwa moja mazima hajarudi hadi leo.

Tunavoongea ameoa bank teller wa CRDB mahari alitoa millioni tano tena alitaka yy,hawakumpangia bei ,

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
hao walitaka refund ya gharama za kusomesha binti upilot.
 
Wanaume tuweni serious tusicheze na hisia za wachumba zetu, nashangaa kuona mtu anatoa mpaka posa anapangiwa mahali halafu anamkimbia bint hamuoi anaenda kuoa mwanamke mwingine, sijui tatizo huwa ni nini.
= hapo umemaanisha "mahali" kuwa ni sehemu ya kufanyia harusi au mahari ada ya kujipatia mke?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Ipo posa tulimpeleka mshkaji flani 2 yrs ago, ke alikuwa rubani, tulipokelewa vizuri kufikia mahari jamaa akapigwa bill ya 100M , ndio hujakosea ulichosoma millioni mia moja ,alipotoka pale alienda moja kwa moja mazima hajarudi hadi leo.

Tunavoongea ameoa bank teller wa CRDB mahari alitoa millioni tano tena alitaka yy,hawakumpangia bei ,

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Milioni 100 huyo mwanamke ni Pawatila?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Mtu hawezi ghaili bila sababu,unakuta vikwazo toka kwa mwanamke au familia ndio sababu...ilitokea jamaa wamekaa kwenye uchumba na binti 3yrs,binti anakaribia kumaliza masomo akamwambia jamaa katoe mahali,jamaa akaenda na mshanga na wazaz kutoa mahali,..familia ikasema mila yetu mahali tutachukua siku ya harusi,..jamaa kajipanga kwa harusi miezi 3 binti kagoma kuolewa mpk afanye kazi mwaka 1 ndio wafunge ndoa,jamaa akaamua kuachana nae...baada ya muda binti na wazazi wanamtafuta jamaa,..binti akachanganyikiwa kwamba jamaa kamuaibisha...nani anakosa hapo?
 
Huwa tunaoa familia hatuoi binti yao, sasa kama mzani umegoma kubalance kwenye tabia za familia ya binti hakika tunatimka mbio za Hussein Bolt, ile swaaaaa!!!! kama upepo 😂 😂

Sasa familia inaniuliza nafanya kazi gani na wapi, ni swali muhimu ila wamuulize binti yao. Na yeye kama hajui wamuulize tu anayaonaje maisha ya mwenza mume mtarajiwa, je ataweza kuhudumia familia watakayoianzisha?. Wakipewa majibu wamshauri binti yao sasa.

Siku wakionaan na muoaji ijadiliwe mahari na mambo ya jumla jumla tu lakini waangalie uongeaji wa wote waliokuja kuanzia muoaji hadi mshenga, amini tabia ya mshenga na muoaji huwa hazipishani sana, sasa mshenga kwakuwa hayupo kwenye nafasi ya kupoteza atawaonesha wao ni wakina nani hasa na wamekuja kufanya nini hapo kwao.
 
Back
Top Bottom