Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 1,842
- 6,087
Serikali inawapangia wanaomaliza form four kwenda kusoma diploma either ya nursing, clinical officer, pharmaceutical science, tena wanahitaji Mwanafunzi awe na D 4 tu.
Mdogo wangu form four kapata division 1 , akaenda advance PCB pia kufaulu kwa division 1 point 9, CCC, lakini ka-apply MD kakosa, na ndoto zake ni kua daktari, akifikiria labda asome Diploma anakutana na waliosoma form four wala hawakwenda a-level, dogo kachanganyikiwa naona mwishoni atakuja kwenye chaka la washika Chaki
Naona kama sio sawa nakumbuka miaka ya zamani division 3 alikua anasoma udaktari, lakini mambo yamebadilika competition imekua kubwa sana, kwa kijana yoyote mwenye ndoto ya kua daktari bora apitie form four asome diploma then ataunganisha, maana kwa form four kwenda kusoma course za afya ni D 4 tu, vyuo viko vingi sana, kuliko kwenda advance, ukienda advance hakikisha unasoma kweli na upate division 1 ya 7, tofauti na hapo ndio utasikia watu wanakimbilia course zingine ambazo hazikua kwenye mipango yao.
Kwa miaka hii njia nzuri ya kufikia ndoto zako ni kusoma diploma kupitia form four, ukijichanganya kwenda advance utashangazwa (kwa course za science).