Mwiba1
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 1,122
- 2,445
Kwa kozi za engineering ukienda advance ni upuuzi maana mwenye diploma anasoma degree miaka mitatu na sio minne. Na atakuzidi pakubwa sana inapokuja ishu ya ajira.Diplom ni shortcut kivipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kozi za engineering ukienda advance ni upuuzi maana mwenye diploma anasoma degree miaka mitatu na sio minne. Na atakuzidi pakubwa sana inapokuja ishu ya ajira.Diplom ni shortcut kivipi?
Inatagemeana na kozi.kozi za engineering ukisoma diploma miaka mitatu degree hausomi minneUkipitia Diploma utasoma miaka mingi kuliko aliepitia Advance, kwahiyo Advance ndo shortcut
Tcha anakwambia diploma ni form four failure...nimesoma diploma nina division 1 ya 15 form 4 tena one ya mwaka 2012 shule ya kata sio hizi one za mchongo za miaka hii.😂😂😂 ,Teacher amesakamwa ghafla ,....
Sasa kumbe unajua kwamba diploma is much better kwann unasema advance ni shortcut? Kama ulisoma pale DIT miaka mitatu je degree ulisoma miaka mingapi?Tcha anakwambia diploma ni form four failure...nimesoma diploma nina division 1 ya 15 form 4 tena one ya mwaka 2012 shule ya kata sio hizi one za mchongo za miaka hii.
Waache watakuwa disappointed baada ya kumaliza, Vijiweni huku MD wanalilia shift na CO naWacha wapambane wakati kwenye vijiwe sasa hivi mishahara midogo sana, na hiyo MD
Alekebishe heading au mod wamsaidie🥺Tcha anakwambia diploma ni form four failure...nimesoma diploma nina division 1 ya 15 form 4 tena one ya mwaka 2012 shule ya kata sio hizi one za mchongo za miaka hii.
Una ada ya kumpa Kariuki MD milioni 7 bado mambo mengineelimu ya F5/6 ni takataka, ingefutwa
imeleta dumb graduates waliojazana mtaani
mwambie dogo aachane na F4 failure wa dip, aende Hubert Kairuki
ujuaji unamkosti, walipita Dip wanateleza tuUna ada ya kumpa Kariuki MD milioni 7 bado mambo mengine
unapotoa ushauri zingatia mambo mengi. Asome Program nyingine
😅😅😅nimelia sanaelimu ya F5/6 ni takataka, ingefutwa
imeleta dumb graduates waliojazana mtaani
mwambie dogo aachane na F4 failure wa dip, aende Hubert Kairuki
Ada kwa mwaka milioni 7 plus, kila siku akitumia 10k, kwa mwakani milioni 3 laki 6 na nusu, hapo mengi hujaweza, matumizi mengine inazidi milioni 10 kwa mwakaKakosa MD, lakini hawezi kupata kwa vyuo vya serikali, labda huko hubert kairuki, st joseph ambayo ada ni million 7 kwa Mwaka.
*kila siku akitumia 10k,Ada kwa mwaka milioni 7 plus, kila siku akitumia 1k, kwa mwakani milioni 3 laki 6 na nusu, hapo mengi hujaweza, matumizi mengine inazidi milioni 10 kwa mwaka
Miaka mi5, imetumika milioni 50+
Unasubiri uje uajiriwe baada ya miaka 5 tangu ugraduate like seriousAda kwa mwaka milioni 7 plus, kila siku akitumia 1k, kwa mwakani milioni 3 laki 6 na nusu, hapo mengi hujaweza, matumizi mengine inazidi milioni 10 kwa mwaka
Miaka mi5, imetumika milioni 50+
True , kuna vyuo vinawafadhili wanafunzi waliochagua diploma moja kwa moja na unakuta wana ufaulu mkubwa kabisa kwa mfano chuo cha ufundi arusha ni moja ya chuo kizuri na kina wa sponsor wanafunzi wote waliochagua kujiunga nacho badala ya kwenda advance nadhani kigezo ni division 1 na 2 kama sikosei ATASOMA , ATAKULA , MALAZI, NA PESA YA IPT BURE KABISAkaangalia kigezo kisa D 4 wakati hata hiyo MD ni D3 tu, shida inakuja kwenye upinzani
mfumo wetu wa elimu ni mbovu sana mno na kuufanya tuzeekee shuleni. mkuu kwa huo ufaulu wake kama pesa ipo akasome njeSerikali inawapangia wanaomaliza form four kwenda kusoma diploma either ya nursing, clinical officer, pharmaceutical science, tena wanahitaji Mwanafunzi awe na D 4 tu.
Mdogo wangu form four kapata division 1 , akaenda advance PCB pia kufaulu kwa division 1 point 9, CCC, lakini ka-apply MD kakosa, na ndoto zake ni kua daktari, akifikiria labda asome Diploma anakutana na waliosoma form four wala hawakwenda a-level, dogo kachanganyikiwa naona mwishoni atakuja kwenye chaka la washika Chaki
Naona kama sio sawa nakumbuka miaka ya zamani division 3 alikua anasoma udaktari, lakini mambo yamebadilika competition imekua kubwa sana, kwa kijana yoyote mwenye ndoto ya kua daktari bora apitie form four asome diploma then ataunganisha, maana kwa form four kwenda kusoma course za afya ni D 4 tu, vyuo viko vingi sana, kuliko kwenda advance, ukienda advance hakikisha unasoma kweli na upate division 1 ya 7, tofauti na hapo ndio utasikia watu wanakimbilia course zingine ambazo hazikua kwenye mipango yao.
Kwa miaka hii njia nzuri ya kufikia ndoto zako ni kusoma diploma kupitia form four, ukijichanganya kwenda advance utashangazwa (kwa course za science).
Competition iliyopo ni kubwa sasa unakuta watu wana division 1 kali wote wameomba Bugando, Muhimbili, udsm n.k sasa atafanyeje maana mwenye ufaulu ndio anachukuliwaSerikali inawapangia wanaomaliza form four kwenda kusoma diploma either ya nursing, clinical officer, pharmaceutical science, tena wanahitaji Mwanafunzi awe na D 4 tu.
Mdogo wangu form four kapata division 1 , akaenda advance PCB pia kufaulu kwa division 1 point 9, CCC, lakini ka-apply MD kakosa, na ndoto zake ni kua daktari, akifikiria labda asome Diploma anakutana na waliosoma form four wala hawakwenda a-level, dogo kachanganyikiwa naona mwishoni atakuja kwenye chaka la washika Chaki
Naona kama sio sawa nakumbuka miaka ya zamani division 3 alikua anasoma udaktari, lakini mambo yamebadilika competition imekua kubwa sana, kwa kijana yoyote mwenye ndoto ya kua daktari bora apitie form four asome diploma then ataunganisha, maana kwa form four kwenda kusoma course za afya ni D 4 tu, vyuo viko vingi sana, kuliko kwenda advance, ukienda advance hakikisha unasoma kweli na upate division 1 ya 7, tofauti na hapo ndio utasikia watu wanakimbilia course zingine ambazo hazikua kwenye mipango yao.
Kwa miaka hii njia nzuri ya kufikia ndoto zako ni kusoma diploma kupitia form four, ukijichanganya kwenda advance utashangazwa (kwa course za science).
Hata kwa baadhi ya course za afya. Mfano Physiotherapy na Nursing, ukiwa na diploma utasoma tu kwa miaka 3 tofauti na aliyetoka advance atasoma kwa miaka 4Kwa kozi za engineering ukienda advance ni upuuzi maana mwenye diploma anasoma degree miaka mitatu na sio minne. Na atakuzidi pakubwa sana inapokuja ishu ya ajira.
Watu waache ulimbukeni wa kwenda advance aiseeHata kwa baadhi ya course za afya. Mfano Physiotherapy na Nursing, ukiwa na diploma utasoma tu kwa miaka 3 tofauti na aliyetoka advance atasoma kwa miaka 4