Mtembezi Kichomi
JF-Expert Member
- Feb 24, 2022
- 696
- 993
Kupita shortcut ni dhambi ama ?Natabiri kigezo cha mbeleni kuajiriwa serikalini uwe umepitia f6 hapa watapunguza wengi walopita shortcut
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupita shortcut ni dhambi ama ?Natabiri kigezo cha mbeleni kuajiriwa serikalini uwe umepitia f6 hapa watapunguza wengi walopita shortcut
Huu uzi ufungwe kwa hii comment.Nadhani bado hujaelewa msingi wa diploma, why it ipo, we had div 1 na 2 wanapiga diploma, although mimi nilikuwa degree by then
And soko la ajira limebadilika sana this day, zamani diploma was nothing. But the imerudi kwa soko
Aombe vyuo cya private kama kcmc, bugando medics , kairukSerikali inawapangia wanaomaliza form four kwenda kusoma diploma either ya nursing, clinical officer, pharmaceutical science, tena wanahitaji Mwanafunzi awe na D 4 tu.
Mdogo wangu form four kapata division 1 , akaenda advance PCB pia kufaulu kwa division 1 point 9, CCC, lakini ka-apply MD kakosa, na ndoto zake ni kua daktari, akifikiria labda asome Diploma anakutana na waliosoma form four wala hawakwenda a-level, dogo kachanganyikiwa naona mwishoni atakuja kwenye chaka la washika Chaki
Naona kama sio sawa nakumbuka miaka ya zamani division 3 alikua anasoma udaktari, lakini mambo yamebadilika competition imekua kubwa sana, kwa kijana yoyote mwenye ndoto ya kua daktari bora apitie form four asome diploma then ataunganisha, maana kwa form four kwenda kusoma course za afya ni D 4 tu, vyuo viko vingi sana, kuliko kwenda advance, ukienda advance hakikisha unasoma kweli na upate division 1 ya 7, tofauti na hapo ndio utasikia watu wanakimbilia course zingine ambazo hazikua kwenye mipango yao.
Kwa miaka hii njia nzuri ya kufikia ndoto zako ni kusoma diploma kupitia form four, ukijichanganya kwenda advance utashangazwa (kwa course za science).
Ni kweli ajira nyingi wakitangaza wanataka diploma, ndio maana nimesema njia nzuri ya kufanikisha ndoto ni kusoma diploma.Nadhani bado hujaelewa msingi wa diploma, why it ipo, we had div 1 na 2 wanapiga diploma, although mimi nilikuwa degree by then
And soko la ajira limebadilika sana this day, zamani diploma was nothing. But the imerudi kwa soko
Aliyekudanganya kwamba diploma wanasoma waliofeli form 4 pekee ni nani? Una mawazo finyu kweli kweliSerikali inawapangia wanaomaliza form four kwenda kusoma diploma either ya nursing, clinical officer, pharmaceutical science, tena wanahitaji Mwanafunzi awe na D 4 tu.
Mdogo wangu form four kapata division 1 , akaenda advance PCB pia kufaulu kwa division 1 point 9, CCC, lakini ka-apply MD kakosa, na ndoto zake ni kua daktari, akifikiria labda asome Diploma anakutana na waliosoma form four wala hawakwenda a-level, dogo kachanganyikiwa naona mwishoni atakuja kwenye chaka la washika Chaki
Naona kama sio sawa nakumbuka miaka ya zamani division 3 alikua anasoma udaktari, lakini mambo yamebadilika competition imekua kubwa sana, kwa kijana yoyote mwenye ndoto ya kua daktari bora apitie form four asome diploma then ataunganisha, maana kwa form four kwenda kusoma course za afya ni D 4 tu, vyuo viko vingi sana, kuliko kwenda advance, ukienda advance hakikisha unasoma kweli na upate division 1 ya 7, tofauti na hapo ndio utasikia watu wanakimbilia course zingine ambazo hazikua kwenye mipango yao.
Kwa miaka hii njia nzuri ya kufikia ndoto zako ni kusoma diploma kupitia form four, ukijichanganya kwenda advance utashangazwa (kwa course za science).
Serikali inawapangia wanaomaliza form four kwenda kusoma diploma either ya nursing, clinical officer, pharmaceutical science, tena wanahitaji Mwanafunzi awe na D 4 tu.
Mdogo wangu form four kapata division 1 , akaenda advance PCB pia kufaulu kwa division 1 point 9, CCC, lakini ka-apply MD kakosa, na ndoto zake ni kua daktari, akifikiria labda asome Diploma anakutana na waliosoma form four wala hawakwenda a-level, dogo kachanganyikiwa naona mwishoni atakuja kwenye chaka la washika Chaki
Naona kama sio sawa nakumbuka miaka ya zamani division 3 alikua anasoma udaktari, lakini mambo yamebadilika competition imekua kubwa sana, kwa kijana yoyote mwenye ndoto ya kua daktari bora apitie form four asome diploma then ataunganisha, maana kwa form four kwenda kusoma course za afya ni D 4 tu, vyuo viko vingi sana, kuliko kwenda advance, ukienda advance hakikisha unasoma kweli na upate division 1 ya 7, tofauti na hapo ndio utasikia watu wanakimbilia course zingine ambazo hazikua kwenye mipango yao.
Kwa miaka hii njia nzuri ya kufikia ndoto zako ni kusoma diploma kupitia form four, ukijichanganya kwenda advance utashangazwa (kwa course za science).
Duuuuuh form four failure? Failure atapataje chuo Cha afya?Serikali inawapangia wanaomaliza form four kwenda kusoma diploma either ya nursing, clinical officer, pharmaceutical science, tena wanahitaji Mwanafunzi awe na D 4 tu.
Mdogo wangu form four kapata division 1 , akaenda advance PCB pia kufaulu kwa division 1 point 9, CCC, lakini ka-apply MD kakosa, na ndoto zake ni kua daktari, akifikiria labda asome Diploma anakutana na waliosoma form four wala hawakwenda a-level, dogo kachanganyikiwa naona mwishoni atakuja kwenye chaka la washika Chaki
Naona kama sio sawa nakumbuka miaka ya zamani division 3 alikua anasoma udaktari, lakini mambo yamebadilika competition imekua kubwa sana, kwa kijana yoyote mwenye ndoto ya kua daktari bora apitie form four asome diploma then ataunganisha, maana kwa form four kwenda kusoma course za afya ni D 4 tu, vyuo viko vingi sana, kuliko kwenda advance, ukienda advance hakikisha unasoma kweli na upate division 1 ya 7, tofauti na hapo ndio utasikia watu wanakimbilia course zingine ambazo hazikua kwenye mipango yao.
Kwa miaka hii njia nzuri ya kufikia ndoto zako ni kusoma diploma kupitia form four, ukijichanganya kwenda advance utashangazwa (kwa course za science).
Huyu hajielewi,huyo mdogo wake,kapoteza mda wa A level,hapo Kenya,mwisho ni O level,unakwenda University.Duuuuuh form four failure? Failure atapataje chuo Cha afya?
kikawaida kila hatua hua watu wanaanza upya from primary, secondary, advance, chuo, na hata uraiani.Chuoni mwenye division 4 na mwenye division I wote wanaanza upya, usishangaye mwenye 4 akatoka na GPA ya 4 wakati mwenye 1 ametoka na 3.0
Kazini kwetu amewahi kuja MD akashindwa scnario hadi akasaidiwa na nurse tena Midwife so kijana asijione bora kuliko wote, nawe kakaake mtie moyo muongoze njia sahihi.
Yes, kila hatua inapaswa kuheshimiwa na kuthaminiwa ili Mungu aliyempa fursa na kuwanyima wengine aendelee kutukuzwa.kikawaida kila hatua hua watu wanaanza upya from primary, secondary, advance, chuo, na hata uraiani.
kimsingi unasema tunafundishwa na mabwegeMdogo wako kapata blaza bwege asiyeweza kumuongoza mdogo wake... kweli wewe ticha nimeamini.
Eehh ww si unaona akili zake....miaka hii one ya 9 PCB ni sawa na three miaka ya nyuma.kimsingi unasema tunafundishwa na mabwege
Kaka hana akili kakata ringi anampanikisha dogo.....mwambie dogo akasome diploma ya electrical DIT au kozi ya madini ya .............hii sisemi tutakuwa wengi.Chuoni mwenye division 4 na mwenye division I wote wanaanza upya, usishangaye mwenye 4 akatoka na GPA ya 4 wakati mwenye 1 ametoka na 3.0
Kazini kwetu amewahi kuja MD akashindwa scnario hadi akasaidiwa na nurse tena Midwife so kijana asijione bora kuliko wote, nawe kakaake mtie moyo muongoze njia sahihi.
Kwamba mtakua wengi mkuu? Kwa staili hii hili taifa litaenda kweli?🤣Kaka hana akili kakata ringi anampanikisha dogo.....mwambie dogo akasome diploma ya electrical DIT au kozi ya madini ya .............hii sisemi tutakuwa wengi.