Inakuwaje Mwanafunzi wa Form Six kusoma Diploma sawa na Form Four failure?

Inakuwaje Mwanafunzi wa Form Six kusoma Diploma sawa na Form Four failure?

Md nn sasa akosome ata biomedical, watu wa miozi pia kuna medical laboratory, kuna watu wa radar wanaajirwa mpaka jeshini asikariri maisha
 
Ataenda diploma na one yake na sup atapata kama kawaida chamsingi kama anadondo ya kua dactari aende vyuo vya private
 
Aombe BSc. Nursing, BSc. Midwifery, BSc. Physiotherapy, BSc. Food, Nutrition and Dietetics, BSc. Medical Laboratory Science na nyingine

MD ni nzuri ila kama amekosa kuchaguliwa asonge mbele by the way ilikuwa na Value zamani
kwa sasa ni wengi mno.
Unafikiri hizo zingine wanazijua sasa ?
 
Duuuuuh, nimeamini ukitaka kukosana na raia sema kwamba ww ni MWALIMU......
mimi nimemnukuu jamaa katika sentensi zake. na apart from that kama kuna haja ya mjadala kimsingi requirement za ualimu nchini kwetu sio kubwa hapa shida ni mfumo
 
Unafikiri hizo zingine wanazijua sasa ?
Hawa madogo wengi huwa hawashauriki wanafuata mkumbo na tuu.

Sasa anapata stress na Program zipo nyingi. Kuna Radiology, Audiology, Anastezia nakadhalika.
 
Shortcut kivipi ukienda advance na alieenda diploma wote sawa tu maana mwanafunzi mwenye diploma ya civil pale DIT anasoma degree kwa miaka mitatu na sio minne kama kijana alietoka advance. Naongelea engineering hapa.
Ukipitia Diploma utasoma miaka mingi kuliko aliepitia Advance, kwahiyo Advance ndo shortcut
 
Hawa madogo wengi huwa hawashauriki wanafuata mkumbo na tuu.

Sasa anapata stress na Program zipo nyingi. Kuna Radiology, Audiology, Anastezia nakadhalika.
Wacha wapambane wakati kwenye vijiwe sasa hivi mishahara midogo sana, kwa hiyo MD
 
Back
Top Bottom