Inakuwaje Mwanafunzi wa Form Six kusoma Diploma sawa na Form Four failure?

Aombe vyuo cya private kama kcmc, bugando medics , kairuk
 
Nadhani bado hujaelewa msingi wa diploma, why it ipo, we had div 1 na 2 wanapiga diploma, although mimi nilikuwa degree by then
And soko la ajira limebadilika sana this day, zamani diploma was nothing. But the imerudi kwa soko
Ni kweli ajira nyingi wakitangaza wanataka diploma, ndio maana nimesema njia nzuri ya kufanikisha ndoto ni kusoma diploma.
 
Aliyekudanganya kwamba diploma wanasoma waliofeli form 4 pekee ni nani? Una mawazo finyu kweli kweli
 
Aombe BSc. Nursing, BSc. Midwifery, BSc. Physiotherapy, BSc. Food, Nutrition and Dietetics, BSc. Medical Laboratory Science na nyingine

MD ni nzuri ila kama amekosa kuchaguliwa asonge mbele by the way ilikuwa na Value zamani
kwa sasa ni wengi mno.
 
A LEVEL kupoteza wakati tu.Kenya mwisho ni O level,form four,unakwenda University.
 
Duuuuuh form four failure? Failure atapataje chuo Cha afya?
 
Chuoni mwenye division 4 na mwenye division I wote wanaanza upya, usishangaye mwenye 4 akatoka na GPA ya 4 wakati mwenye 1 ametoka na 3.0

Kazini kwetu amewahi kuja MD akashindwa scnario hadi akasaidiwa na nurse tena Midwife so kijana asijione bora kuliko wote, nawe kakaake mtie moyo muongoze njia sahihi.
 
kikawaida kila hatua hua watu wanaanza upya from primary, secondary, advance, chuo, na hata uraiani.
 
Kwani lazima asome MD?? kozi za afya mbona ni nyingi na wengine hulipwa pesa nyingi kuliko hiyo MD mfano watu wa mionzi, watu wa nusu kaputi, famasia n.k kuliko kusoma diploma kwann asiapply hizo kozi?
 
Mdogo wako kapata blaza bwege asiyeweza kumuongoza mdogo wake... kweli wewe ticha nimeamini.
 
Ni katika harakati za kila mmoja kuzichanga karata zake vizuri bila kufata mkumbo.

Kama pesa ipo mtoto akimaliza form 4 asiende Advance mpeleke akapige Dip moja kwa moja
 
Kaka hana akili kakata ringi anampanikisha dogo.....mwambie dogo akasome diploma ya electrical DIT au kozi ya madini ya .............hii sisemi tutakuwa wengi.
 
Kaka hana akili kakata ringi anampanikisha dogo.....mwambie dogo akasome diploma ya electrical DIT au kozi ya madini ya .............hii sisemi tutakuwa wengi.
Kwamba mtakua wengi mkuu? Kwa staili hii hili taifa litaenda kweli?🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…