Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 1,842
- 6,087
- Thread starter
-
- #41
Ona ulivyo jinga, nenda kwa watoto wenzako. Kama huna mpango wa kusema unatype ya nini kwenye huu uzi?.Kaka hana akili kakata ringi anampanikisha dogo.....mwambie dogo akasome diploma ya electrical DIT au kozi ya madini ya .............hii sisemi tutakuwa wengi.
Duuuuuh, nimeamini ukitaka kukosana na raia sema kwamba ww ni MWALIMU......kimsingi unasema tunafundishwa na mabwege
Tcha tuliza wenge huko kada za afya siku hizi nako hapafai.Ona ulivyo jinga, nenda kwa watoto wenzako. Kama huna mpango wa kusema unatype ya nini kwenye huu uzi?.
Kati ya Advance na diploma ipi shortcut ? Mi naona Advance ndo shortcutNatabiri kigezo cha mbeleni kuajiriwa serikalini uwe umepitia f6 hapa watapunguza wengi walopita shortcut
Hajielewi huyoKati ya Advance na diploma ipi shortcut ? Mi naona Advance ndo shortcut
kaangalia kigezo kisa D 4 wakati hata hiyo MD ni D3 tu, shida inakuja kwenye upinzaniAliyekudanganya kwamba diploma wanasoma waliofeli form 4 pekee ni nani? Una mawazo finyu kweli kweli
😂😂😂 ,Teacher amesakamwa ghafla ,....T
Tcha tuliza wenge huko kada za afya siku hizi nako hapafai.
Unafikiri hizo zingine wanazijua sasa ?Aombe BSc. Nursing, BSc. Midwifery, BSc. Physiotherapy, BSc. Food, Nutrition and Dietetics, BSc. Medical Laboratory Science na nyingine
MD ni nzuri ila kama amekosa kuchaguliwa asonge mbele by the way ilikuwa na Value zamani
kwa sasa ni wengi mno.
Shortcut kivipi ukienda advance na alieenda diploma wote sawa tu maana mwanafunzi mwenye diploma ya civil pale DIT anasoma degree kwa miaka mitatu na sio minne kama kijana alietoka advance. Naongelea engineering hapa.Kati ya Advance na diploma ipi shortcut ? Mi naona Advance ndo shortcut
Elezea ni kwa jinsi gani advance inakua shortcut, usiwe kama jinga kuanza kuongea upuuzi bila kuonyesha uhalisia.Hajielewi huyo
mimi nimemnukuu jamaa katika sentensi zake. na apart from that kama kuna haja ya mjadala kimsingi requirement za ualimu nchini kwetu sio kubwa hapa shida ni mfumoDuuuuuh, nimeamini ukitaka kukosana na raia sema kwamba ww ni MWALIMU......
Anza wewe kuonesha diploma ni form 4 FailureElezea ni kwa jinsi gani advance inakua shortcut, usiwe kama jinga kuanza kuongea upuuzi bila kuonyesha uhalisia.
Hawa madogo wengi huwa hawashauriki wanafuata mkumbo na tuu.Unafikiri hizo zingine wanazijua sasa ?
Diplom ni shortcut kivipi?Elezea ni kwa jinsi gani advance inakua shortcut, usiwe kama jinga kuanza kuongea upuuzi bila kuonyesha uhalisia.
Ukipitia Diploma utasoma miaka mingi kuliko aliepitia Advance, kwahiyo Advance ndo shortcutShortcut kivipi ukienda advance na alieenda diploma wote sawa tu maana mwanafunzi mwenye diploma ya civil pale DIT anasoma degree kwa miaka mitatu na sio minne kama kijana alietoka advance. Naongelea engineering hapa.
Wacha wapambane wakati kwenye vijiwe sasa hivi mishahara midogo sana, kwa hiyo MDHawa madogo wengi huwa hawashauriki wanafuata mkumbo na tuu.
Sasa anapata stress na Program zipo nyingi. Kuna Radiology, Audiology, Anastezia nakadhalika.