Inakuwaje Mwanafunzi wa Form Six kusoma Diploma sawa na Form Four failure?

Kwasasa ww ni mkubwa kwake.Umeshapitia mishale miingi unaweza ukaa nae chini na kuona ni njia gani ambayo inafaa kwake kuweza kufikia malengo yaani akisema anakutana na form for mbona ni kawaida hata makazini Boss anaeshughulikia mshahara ni mtu aliyesomea arts huko nyuma(Wengi wanasema aliefeli sayansi)..

kupanga ni kuchagua
 
Ulichokiongea ni non sense mkuu
Kama umetoka advance ukaende diploma ujue kuna mawili
1.ufaulu wako haukidhi kusoma kozi uliyochagua
2.maamuzi

OVA

N.B form four sio failure bali kwenda diploma ni maamuzi binafsi kuna watu form four wamepiga 1.7 na wakaenda certificate na diploma.
 
Mwambie aende tu Kuna watu nimesoma nao walikuwa na degree za ualimu na wakarudi kusoma diploma course za afya
 
Huyo Dogo ni mpumbavu Kuna watu tulipiga one 1 form four na Bado tulienda vyuo kuanza Diploma na kukutana watu waliyo kula division four secondary tukapigania malengo yetu tukahitimu tukaendelea na maisha yetu na wengine ambao tulipiga nao naskia saivi Wana masters na division four zao hizo walizopiga.

Nimshauri huyo Dogo kama kweli ana malengo yeye akaanze OD akapige kigumu apiganie malengo yake haina haja ya kutazama wengine. Yeye hata kama angesoma na wenye zero kigumu apambanie malengo yake Ili aweze fikia ndoto zake.

Kil la kheri.
 
Uko sahihi .
 
Natabiri kigezo cha mbeleni kuajiriwa serikalini uwe umepitia f6 hapa watapunguza wengi walopita shortcut
Wajisahihishe wenyewe waache kuwapangia Chuo wanafunzi wa form four wenye credit za kwenda high level.
 
Serikali haichagui mwenye D 4 kusoma kozi za Afya ngazi ya Diploma ktk vyuo vyake. Inachukua division one na div two kadhaa. Nimeshuhudia mwenye div one ya points 11 ya form 4 amechaguliwa Diploma ya Nursing UDOM
 
Maisha ya chuo/college yanahitaji kujipanga ili kukabiliana na changamoto, kama wahenga wanavyosema changamoto ni kipimo cha akili. Miongoni mwa changamoto hizo ni chakula na malazi/makazi/accomodation (Sio maradhi wapendwa😊).

Kwenye issue ya chakula mambo yakiwa magumu mkombozi ni mihogo, nakiheshimu sana hiki chakula.😅

Kwenye issue ya malazi/accomodation/makazi hiki ndo kipengele maridhawa..!😁

Yakupasa upate chumba cha kuishi ambacho kimetulia na hakina mambo mengi na kipo mazingira ambayo hayata disturb mambo yako ya msingi.

Kwa wanachuo wanaopenda kuishi kigamboni karibu na Ferry/Kivukoni Nicheki Whatsapp ili upate Room ya ndoto yako.

Asante.
WhatsApp:+255620523897.
#Chumba #Vyumba #Kigamboni #Ferry #Kivukoni #Pantoni #Chuo #Vyuo #College #Universitylife #Collegelife
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…