Inakuwaje mwanamke aliyeolewa anajiachia namna hii?

Inakuwaje mwanamke aliyeolewa anajiachia namna hii?

Wise E

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2019
Posts
952
Reaction score
1,016
Habari wakuu

Ni matumaini yangu mnaendelea vizuri na mapumziko ya wiki. Ijumaa hii iliyopita wakati natoka kazini nilipitia Magomeni kwa dhumuni la kwenda fundi wa redio ya kitorori changu ninachokitumia kwa mizunguko yangu hapa town.

Sasa baada ya kumaliza shughuli yakuweka mziki kwa ride yangu nikaaamua kwenda pale Kisuma bar Magomeni kupata menu na some drinks. Nikiwa naendelea, mida ya saa kumi na mbili hivi wakaja wakina mama flani wamevaa madira flani wako poa wamevaa macheni ya gold na smartphones zao za gharama.

Sasa picha likaanza walikuwa wamekaa mbele yangu, mimi nilikaa meza ya nyuma. Walikuwa wanagonga Serengeti lite kama kawaida sasa kuna mmoja akawa ananiangalia sana(of course am a good looking person) nikajua ana shida ya bia.

Nikamnunulia yeye na wenzake some rounds, hakuamini maana walikuwa kama sita na hawanijui nikawapiga bia zao kadhaa. Sasa yule aliekuwa ananiangalia akaja kunishukuru unajua kimitungu tena shit happen nikamuomba namba tukawa tunachat pale.

Mimi baadaye nikaondoka with no time akaanza kunilalamikia mbona umeondoka mapema bra bra.

Kesho yake nikamtafuta aisee ni mke wa mtu na ana watoto wawili na she is a very out going woman. Nikajiuliza wanawake wanakosea wapi jamani yaani mke wa mtu unajachia hivyo?!!
 
Mkuu, kwanza naomba nikipongeze kwa kumili gari huko Daslam...
Lakini kuhusu huyo mama, sioni nini la kukushairi maana wanaume wa huo mkoa mlisha zowea kulelewa....
tapatalk_1574003001155.gif
 
Back
Top Bottom