Inakuwaje Mwanamke Aliyeolewa na Anasali Makanisa ya Kiroho na Kinabii Anaonekana na Mume wa Mtu Lodge

Inakuwaje Mwanamke Aliyeolewa na Anasali Makanisa ya Kiroho na Kinabii Anaonekana na Mume wa Mtu Lodge

Faana

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
38,657
Reaction score
44,759
Nimemsikia mtu mmoja hapa Mawasiliano daladala terminal akiongea kwenye simu na mwenzake kuwa kuna wawili hao wameonekana mitaa yenye utata na huku wakitokea madhehebu anayoabudu shuhuda, nguvu ya ya asili inaweza kuwa na influence ya kiasi hicho mpaka Mungu asahaulike!?
 
Nimemsikia mtu mmoja hapa Mawasiliano daladala terminal akiongea kwenye simu na mwenzake kuwa kuna wawili hao wameonekana mitaa yenye utata na huku wakitokea madhehebu anayoabudu shuhuda, nguvu ya ya asili inaweza kuwa na influence ya kiasi hicho mpaka!?
Wanaohudhuria huko ndio watakatifu au? Ninachojua ni kuwa hawajielewi.
 
Wanaohudhuria huko ndio watakatifu au? Ninachojua ni kuwa hawajielewi.
Ndiyo wanaongoza kwa kukemea matendo yasiyokubalika kwenye jamii
 
Waumini wa hayo makanisa ni wanafiki tu.

Wengi wao uzinzi huwa wanaenda kuufanyia mbali hata 100Km.
 
Fuata mambo yako na hao uliowaskia waambie wafuate mambo yao wawaachie hao wazinzi mambo yao.
 
Waumini wa hayo makanisa ni wanafiki tu.

Wengi wao uzinzi huwa wanaenda kuufanyia mbali hata 100Km.
🤣
Huko wanakokwenda kujificha ndiko wananaswa na wenzao
 
Kama hujui kunhoneka basi we unashida.acha watu wanongeke hesabu za Mungu ana jua mungu
 
Back
Top Bottom