Inakuwaje Mwanamke Aliyeolewa na Anasali Makanisa ya Kiroho na Kinabii Anaonekana na Mume wa Mtu Lodge

Inakuwaje Mwanamke Aliyeolewa na Anasali Makanisa ya Kiroho na Kinabii Anaonekana na Mume wa Mtu Lodge

Jambo la ajabu ni kwamba watu wanatoka kwa Mwamposya,au kwa Kuhani Musa au kwa huyu Mbunge machachari wa Kawe nani,ah,Gwajima: hawasalimiani kabisa. Kila mtu anarudi nyumbani kwake.
😂
 
Nimemsikia mtu mmoja hapa Mawasiliano daladala terminal akiongea kwenye simu na mwenzake kuwa kuna wawili hao wameonekana mitaa yenye utata na huku wakitokea madhehebu anayoabudu shuhuda, nguvu ya ya asili inaweza kuwa na influence ya kiasi hicho mpaka Mungu asahaulike!?
Hata angesali makanisa ya "kimbingu"nini kiroho,ubinadamu wake haundoki,anaweza kuchepuka,udhaifu upo pale pale,siku hizi watu wanaenda kuwbudu hayo makanisa,kwa sababu ya shida tu,au ni swaga na mbwembwe,Ili kujionesha,lakini wanabaki na ushetani wao tu
 
Kwenye mapenzi hakuna anayetumia akili gwajima mwenyewe alishindwa itakuwa hao watumishi hewa.
 
Back
Top Bottom