Wanaohudhuria huko ndio watakatifu au? Ninachojua ni kuwa hawajielewi.Nimemsikia mtu mmoja hapa Mawasiliano daladala terminal akiongea kwenye simu na mwenzake kuwa kuna wawili hao wameonekana mitaa yenye utata na huku wakitokea madhehebu anayoabudu shuhuda, nguvu ya ya asili inaweza kuwa na influence ya kiasi hicho mpaka!?
Hebu tufafanulie bosiKawaida sana hiyo mwanangu
Na kutuona sisi akina Yakhe wakosefu sana kiasi cha kutupimia hadi aina ya adhabu tutakayoipata.Ndiyo wanaongoza kwa kukemea matendo yasiyokubalika kwenye jamii
Kwamba nao wanakosea km mimi Fall Army Worm?.Nao ni binadamu , wana madhaifu yao!. Ndiyo maana toba is not one time event