Inakuwaje Mwanamke Aliyeolewa na Anasali Makanisa ya Kiroho na Kinabii Anaonekana na Mume wa Mtu Lodge

Jambo la ajabu ni kwamba watu wanatoka kwa Mwamposya,au kwa Kuhani Musa au kwa huyu Mbunge machachari wa Kawe nani,ah,Gwajima: hawasalimiani kabisa. Kila mtu anarudi nyumbani kwake.
😂
 
Hata angesali makanisa ya "kimbingu"nini kiroho,ubinadamu wake haundoki,anaweza kuchepuka,udhaifu upo pale pale,siku hizi watu wanaenda kuwbudu hayo makanisa,kwa sababu ya shida tu,au ni swaga na mbwembwe,Ili kujionesha,lakini wanabaki na ushetani wao tu
 
Kwenye mapenzi hakuna anayetumia akili gwajima mwenyewe alishindwa itakuwa hao watumishi hewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…