PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 8,435
- 6,476
HahahaHivi Zitto Kabwe ameshaowa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaHivi Zitto Kabwe ameshaowa?
Uamuzi wa kuoa sasa hivi sina talalalalaaa, am just singing.
Btw Samira hajambo atashukuru Anko ukimtumua japo raba mtoni.
Basi pouwa..mwabie Ankal Richie Mugizi atamletea pamba za ukweli toka USA baby:usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2:
Kuoa ni utumwa utaletewa ukimwiHivi inakuwaje mwanaume mzima unakuwa na pesa za kutosha, umefika miaka 30 hadi 40 hapo katikati, lakini bado unashangaa anakuwa na girl friend tu, au pengine hata halijaoa?
Hivi huwa ni tatizo gani, huwa yananikera halafu dah.
Nilikuwa nasoma na jamaa mmoja hivi, watoto wa huko masakimasaki huko anajifanya mwenyewe ni mambo safi, lakini story zake zote "my girlfriend".
Wenzake tumeoa tangu tukiwa na 25 wakati hata maisha hayajawa mazuri na maisha yameboreka kuwa mazuri tukiwa ndani na wake zetu kwa kushirikiana na wake zetu kujenga maisha.
Sasahivi tuna watoto wakubwa kabisa tunahangaika kusomesha yeye hana mtoto anabadilisha tu wasichana, hela anayo, lakini akili ya kuoa hana.
Wanaume wenzangu mnakera sana wakati mwignine.
Wewe Umekimbilia Kuoa Unajiona Mjanja.Ngoja Wenzio Tumalize Kwanza Ujinga Wetu.Kuoa Badae Kula Ujana Na Kumaliza Ujinga Ndo Habari Ya Mujini.Ujinga Wako Endelea Kuuhifadhi Tu Ila Utakuja Kuurudia Uzeeni.Nadhani "Mtu Mzima Ovyo" Unahusika Nalo Time Will Tell.
NaamAngeoa mapema asingekuwa na hela kama alizonazo sasa