pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,131
- 3,505
NDIO kuoa au kuolewa ni lazima kwa sababu ni mpango wa MUNGU kwa wanadamu na pia ni ibada mbele zake,lakini pia hajasema ni wakati gani au lazima uwe na nini ili uweze kuoa au kuolewa....kwa sababu swala la ndoa linatagemea utayari wa fikra za wote wawili...sasa pengine yawezekana jamaa yupo tayari ila wanawake anaopata hawapo tayari au kinyume chake....