Inakuwaje mwanaume mpaka una miaka 30 au 40 haujaoa na una hela?

Inakuwaje mwanaume mpaka una miaka 30 au 40 haujaoa na una hela?

Pumba tupu..
Hakuna point..
Wapi mleta mada Kazungumzia swala la kupeana Mimba..!!!??
Kama umepewa ukakataliwa tulia tuliiii kama maji ya mtungi maana hukulazimishwa ulitanua mwenyewe kwa ushamba wako ..!!

Duuuuh!! Kweli jf kuna watu wa kila aina na kila rangi.
 
Labda umuumbe mwenyewe, kila mja ana mapungufu, mapenzi si kuwa na wale wenye vigezo tunavyovitaka na tunaoendana nao, mapenzi ni kuvumulia mapungufu ya wengine.....pale palipopungua tunapajaza upendo.

Sa we endelea kumsubiri huyo unayemuota hadi uzeeke.

tena et anasema hata in a week ataoa... he doesnt know it takes more than than and actually huyo mtu hakuna alie perfecto.
 
Ulichokiandika kinaonyesha wewe ni mtu na namna gani. So nishakuelewa na huwezi kunipotezesha mda wangu kukujibu zaidi.Unakurupuka..huelewi na huwezi kuchanganua mambo. Sijui level yako ya elimu ni ipi!?

Ila ukweli unauma..na si ajabu nimekulenga. Utajijuaaa...nishakupa ukweli kaa ukilielewa hilo.

Uwezo wako wa kuchanganua ni finyuuu...pole sana!!

Kwa kumalizia mimi sio msichana tahira ambae najirahisisha kila mtu aupitie mwili wangu. Sijapewa mimba na sina mpango wa kuzalishwa na mtu asiye na future. Sipo zat cheap kijana Najiheshimu kulikoooo...na ni mtu mwenye hadhi yangu. Kaa hapo kijana!

Ila ni mwanamke kwahiyo nawasitikia sana wanawake wenzangu wanaozalishwa na vijana wapenda mgono lkn wakwepa majukumu..sababu wanapotezewa muda wao na maisha yao.

Kwahiyo km ndo tabia yako kijana poleee maana ujumbe umekufikia. Acha kuwafanya wanawake km vyombo vya starehe..km unampenda muoe...unakaa nae miaka yote ya nn km hutaki kuoa.

Level yangu ya Elimu ni darasa la saba aliefeli...
Ila siwezi kuandika Pumba kama unazoziandika..
Ebu angalia uandishi wako ..!!??
Kama bata
Tuachane na hayo...
Ivi Vipi yule mtoto wako wa tatu Baba ake alimkubali au alimruka kama wa kwanza na wapili...!!?
 
Weusi tunawaza kuoa na kuzaa tu.. Hatuwazi kugundua vitu vya kuifanya dunia iwe sehemu nzuri ya kuishi.. Tunawaza kujaza watu tu duniani.. Akili finyu kabisa
Wewe ndo bure kabisa, kwani umeambiwa huyo jamaa ambaye hawazi kuoa ni mweupe? Acha kujidharau.
 
Level yangu ya Elimu ni darasa la saba aliefeli...
Ila siwezi kuandika Pumba kama unazoziandika..
Ebu angalia uandishi wako ..!!??
Kama bata
Tuachane na hayo...
Ivi Vipi yule mtoto wako wa tatu Baba ake alimkubali au alimruka kama wa kwanza na wapili...!!?

Too narrow minded
negative IQ not even zero... perhaps ya using the small head to think and reason...
the thread sounds personal but if we put the personal point aside and deal with the concept, he has a point... the rich men I know worldwide and locally most of them married before their 40s n have got kids so kutafuta sio sababu
to my perception most of the dudes single to that age either
1. fear of responsibilities
2.the fear of heartbreaks
3.ukicheche
4. having money to the extent of being selfish to have someone else enjoy the fruits
5. an excuse ya bado najenga maisha
you guys should be sleeping with bitches could have been very fair but same guys you give people fake hopes, play around, turning them to single moms and yet insult them when they remain single to their 30s
so guys let's mind our businesses and not not judgmental plus double standards... Kama unavyoona wewe ni kuoa ni uamuzi na umebahatika kuwa kwenye uhusiano bora ( not uhusiano jina) give a break to solos.. Ts none of your damn business.
 
Mmmh mbona watu mapovu yamewatoka sana.... Inawagusa ukiona hivyo, hailet picha nzur mtu una miaka 40 bado una girlfriend, kha!!! Ujana gan unakula mpaka muda huo, na nani kakuambia ukioa ndio kula ujana kunakwama???, may be kama kula ujana ni kulala na malaya..... All in all akil za maisha zinatofautiana,
 
Too narrow minded
negative IQ not even zero... perhaps ya using the small head to think and reason...
the thread sounds personal but if we put the personal point aside and deal with the concept, he has a point... the rich men I know worldwide and locally most of them married before their 40s n have got kids so kutafuta sio sababu
to my perception most of the dudes single to that age either
1. fear of responsibilities
2.the fear of heartbreaks
3.ukicheche
4. having money to the extent of being selfish to have someone else enjoy the fruits
5. an excuse ya bado najenga maisha
you guys should be sleeping with bitches could have been very fair but same guys you give people fake hopes, play around, turning them to single moms and yet insult them when they remain single to their 30s
so guys let's mind our businesses and not not judgmental plus double standards... Kama unavyoona wewe ni kuoa ni uamuzi na umebahatika kuwa kwenye uhusiano bora ( not uhusiano jina) give a break to solos.. Ts none of your damn business.

😎😎😎😎😎😎, u got a point
 
Mbona Lemutuz anamiaka 56 alafu ana girlfriend mabebez msituzingue bana kuoa majaliwa
 
Ulichokiandika kinaonyesha wewe ni mtu na namna gani. So nishakuelewa na huwezi kunipotezesha mda wangu kukujibu zaidi.Unakurupuka..huelewi na huwezi kuchanganua mambo. Sijui level yako ya elimu ni ipi!?

Ila ukweli unauma..na si ajabu nimekulenga. Utajijuaaa...nishakupa ukweli kaa ukilielewa hilo.

Uwezo wako wa kuchanganua ni finyuuu...pole sana!!

Kwa kumalizia mimi sio msichana tahira ambae najirahisisha kila mtu aupitie mwili wangu. Sijapewa mimba na sina mpango wa kuzalishwa na mtu asiye na future. Sipo zat cheap kijana Najiheshimu kulikoooo...na ni mtu mwenye hadhi yangu. Kaa hapo kijana!

Ila ni mwanamke kwahiyo nawasitikia sana wanawake wenzangu wanaozalishwa na vijana wapenda mgono lkn wakwepa majukumu..sababu wanapotezewa muda wao na maisha yao.

Kwahiyo km ndo tabia yako kijana poleee maana ujumbe umekufikia. Acha kuwafanya wanawake km vyombo vya starehe..km unampenda muoe...unakaa nae miaka yote ya nn km hutaki kuoa.

Which future you're taliking about?
 
kwa kusoma huu UZI: nimegundua TATIZO LINALOKUSUMBUA ZAIDI NI SWAGA ZA HUYU JAMAA.

KUmbe ushajua ye mambo safi sio sasa ulikua unabisha nini kule mwanzo...:yo:

An intellectual answer mkuu
 
Mkuu ebu nipe taarifa za chama chetu kwanza

Hakuna taarifa zaidi ya kustructure Management ya UKAWA itakavyokuwa,kuanzia Rais na wasaidizi wake wote yaani wizarani,k
majimboni,kata,tarafa n.k na baada ya hapo ni developmental plans,kwasababu ushindi ni asubuhi ya trh 26/10/2015
 
Nashukuru sana Mkuu
 
Hivi inakuwaje mwanaume mzima unakuwa na pesa za kutosha, umefika miaka 30 hadi 40 hapo katikati, lakini bado unashangaa anakuwa na girl friend tu, au pengine hata halijaoa?

Hivi huwa ni tatizo gani, huwa yananikera halafu dah.

Nilikuwa nasoma na jamaa mmoja hivi, watoto wa huko masakimasaki huko anajifanya mwenyewe ni mambo safi, lakini story zake zote "my girlfriend".

Wenzake tumeoa tangu tukiwa na 25 wakati hata maisha hayajawa mazuri na maisha yameboreka kuwa mazuri tukiwa ndani na wake zetu kwa kushirikiana na wake zetu kujenga maisha.

Sasahivi tuna watoto wakubwa kabisa tunahangaika kusomesha yeye hana mtoto anabadilisha tu wasichana, hela anayo, lakini akili ya kuoa hana.

Wanaume wenzangu mnakera sana wakati mwignine.

Naona nami naingia ktk kundi hili taratibu! Au ni mm nazungumziwa!!
 
Kuna sababu kuu duniani sasa hivi kampeni ya kuwaweka wasichana shuleni kwa mda mrefu umepamba moto..

1. Utafiti unaonyesha jamii ambazo members huchelewa kuoa/olewa hufanya vizuri sana kiuchumi.
Especially wa kike.....anapata mda wa kujiendeleza kielimu,kiuchumi,kimahusiano na kadhalika.

2.Hii pia kwa vijana wa kiume,mtu anapata nafasi ya kuweka vision na community service yake into perspective.....na kupelekea jamii iliyomzunguka kufaidi sana kwa muda mrefu........

3. kaka aliyepata kazi akichelewa kuoa wengi wao husomesha wadogo wao na kuinua wazazi na familia kiuchumi as opposed to kama angelioa mapema na kuwaleta (extra mouths to feed) watoto duniani.

4. Kuna manufaa kwa Mataifa masikini sana duniani ......gharama za kupanga uzazi unapungua.....smaller/planned population results in less horrors such as famine,starvation,landlessness,homelessness,street families,slums or unplanned settlements et.c

5. Less single families as partners are mature when married late hence ample conflict resolution abilities.

INASMUCH there are many benefits of later marriages, early marriages too have their benefits according to scientific data......children born by younger parents tend to be healthier overall and more intelligent(refer to genetics).
This however doesn't mean that children born by mature parents are any less healthier or less intelligent than their counterparts born by middle aged or older parents....the percentages vary slightly.
TO SUM UP: Marriage should be a personal decision:"TO BE OR NOT TO BE"early works for others whereas late works for others too.
My question is; Which should be the best age for marriage? i.e
1. For men, 2. For women.

Thanks!
 
Back
Top Bottom