uniquelady
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 420
- 177
Mtume alituambia kuwa...kuoa ni sawa na kutumbukiza mkono gizani
Kwa lugha nyepesi ni kwamba kuoa ni kama kucheza mchezo wa bahati nasibu.....
Unaweza ukampata mke atayekufanya ujiulize kwanini ulichelewa kuoa....
Vile vile unaweza ukampata atakayefanya uilaani ndoa na ujute kwanini ulioa....
Hakuna asiyependa kuoa isipokuwa wengi wanatishwa na kuogopeshwa na vitimbi vya kwenye ndoa....
Jambo la msingi ni kumuomba MUNGU akupatie MKE na sio MWANAMKE..
Change your thinking change ur life cos what u think is wat u will get kama unawaza negative kuhusu maisha ya ndoa usitegemee kuwa na ndoa yenye furaha na amani.Pia kumuomba Mungu u need to do your part first then God will do the rest .Kwa wale wakristo hata Mungu alipotaka kuifungua bahar ya sham wanaisrael wapite alisubir wakanyage ndan ya maji that means they took their first step of faith kwa kukanyaga ndani ya maji then the pathway was opened by the Lord .Amen