Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahahahahaha leo mnapashana wenyewe kwa wenyewe na pita tu kusoma maoni
if you take it seriously lazima uangukie pua
if you take it seriously lazima uangukie pua
Hivi inakuwaje mwanaume mzima unakuwa na pesa za kutosha, umefika miaka 30 hadi 40 hapo katikati, lakini bado unashangaa anakuwa na girl friend tu, au pengine hata halijaoa?
Hivi huwa ni tatizo gani, huwa yananikera halafu dah.
Nilikuwa nasoma na jamaa mmoja hivi, watoto wa huko masakimasaki huko anajifanya mwenyewe ni mambo safi, lakini story zake zote "my girlfriend".
Wenzake tumeoa tangu tukiwa na 25 wakati hata maisha hayajawa mazuri na maisha yameboreka kuwa mazuri tukiwa ndani na wake zetu kwa kushirikiana na wake zetu kujenga maisha.
Sasahivi tuna watoto wakubwa kabisa tunahangaika kusomesha yeye hana mtoto anabadilisha tu wasichana, hela anayo, lakini akili ya kuoa hana.
Wanaume wenzangu mnakera sana wakati mwignine.
ndiyo uwe makini usije olewa na mizigo... unaolewa nyumba inageuka kuzimu ndogoHahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa uwiiiiiiii aiseee kuangukia pua sasa hapo utaonekanaje kwa watu mana reception yote bora maana pua ndo uzuri wenyewe shosti
zitakuwa zimezidi ndiyo maana wameziondoaBestito wameziondoa zile like bwana
ndiyo uwe makini usije olewa na mizigo... Unaolewa nyumba inageuka kuzimu ndogo
Ehehehehehehehehehiyaaaaaa waache wapashane maana walizidi kila saa kutusema siye sijui tumewakoseani aiseeeee
ndiyo mwanaume wa kukusumbuaMmhm mizigoooo?????? Hebu nifafanulie hapa bado best umeniacha mbali
keem,wewe umeolewa? Na unasubiri nini mpaka sasa?
Hayo ni maamuzi na style ya maisha mtu aliyoichagua
Huwezi kumlazimisha kufanya vile wewe unataka au unavyoona ni sahihi
Dah tumeanza kusemana wenyewe kwa wenyewe!