BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
1.Wanaume wengine waoga kuoa
2. Hajapata wa kufanana nae aka ubavu wa kumtosha
2. Hajapata wa kufanana nae aka ubavu wa kumtosha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mhh ndiyo majungu, kuna siku umekosa pumzi kwa sababu huyo jamaa hajaoa...
Watu wengine bhana.. Mind your business
KWeli MkuuTatizo sugu hilo kwa watz wengi namna ya ku-link matukio kama huyo uliemdaka
keem,wewe umeolewa? Na unasubiri nini mpaka sasa?Ikiwa kwa mwanaume too personal...heheheee angeleta mada ya kuponda wanawake walofikisha miaka 30 bila kuolewa mngetiririka na mifano juuu...MUWOWEEEE...acheni kujifanya watotooo
Weusi tunawaza kuoa na kuzaa tu.. Hatuwazi kugundua vitu vya kuifanya dunia iwe sehemu nzuri ya kuishi.. Tunawaza kujaza watu tu duniani.. Akili finyu kabisa
kheee hivi kuoa au kuolewa ni lazima?
ha ha haha atakuwa kafaidika na papuchiAhsante miss chagga nafikir umempa jibu sahihi kabisa hakuna mahal palipoandikwa kuolewa au kuoa ni lazma just uamuz yeye ameoa amefaidika na nn
ha ha haha atakuwa kafaidika na papuchi
hivi inakuwaje mwanaume mzima unakuwa na pesa za kutosha, umefika miaka 30 hadi 40 hapo katikati, lakini bado unashangaa anakuwa na girl friend tu, au pengine hata halijaoa?
Hivi huwa ni tatizo gani, huwa yananikera halafu dah.
Nilikuwa nasoma na jamaa mmoja hivi, watoto wa huko masakimasaki huko anajifanya mwenyewe ni mambo safi, lakini story zake zote "my girlfriend".
Wenzake tumeoa tangu tukiwa na 25 wakati hata maisha hayajawa mazuri na maisha yameboreka kuwa mazuri tukiwa ndani na wake zetu kwa kushirikiana na wake zetu kujenga maisha.
Sasahivi tuna watoto wakubwa kabisa tunahangaika kusomesha yeye hana mtoto anabadilisha tu wasichana, hela anayo, lakini akili ya kuoa hana.
Wanaume wenzangu mnakera sana wakati mwignine.
kheee hivi kuoa au kuolewa ni lazima?
ha ha hahah pole mkuuTutaolea wapi wanawake wenyewe wanaolewa na pesa wala siyo mtu...! Ukiwa na pesa inakuolea mke ikiondoka na mke naye anaifuata hukohuko...! Sasa lm mchezo ni hivyo wanawake wakaolewe na BOT,CRDB,BAYCLAYS, M-PESA, TIGO-PESA, na AIRTEL. Tumechoka kunyanganywa wake na mademu zetu hao niliowataja hapo juu..
if you take it seriously lazima uangukie puaDo not take wedding seriously ...........................??????/