KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Mtume alituambia kuwa...kuoa ni sawa na kutumbukiza mkono gizani
Kwa lugha nyepesi ni kwamba kuoa ni kama kucheza mchezo wa bahati nasibu.....
Unaweza ukampata mke atayekufanya ujiulize kwanini ulichelewa kuoa....
Vile vile unaweza ukampata atakayefanya uilaani ndoa na ujute kwanini ulioa....
Hakuna asiyependa kuoa isipokuwa wengi wanatishwa na kuogopeshwa na vitimbi vya kwenye ndoa....
Jambo la msingi ni kumuomba MUNGU akupatie MKE na sio MWANAMKE..