Inakuwaje mwanaume mpaka una miaka 30 au 40 haujaoa na una hela?

Hivi kwani kuoa/kuolewa ni lazima??

Chi ndo hapo chacha!! Leo wanaume humu wamebadilika kama sio wale wa jf!! Hata siamini, wanavyowashupaliaga wanawake ila humu leo wanavyotoa madongo, eti maisha sio kuoa au kuolewa, sasa kule wanakowakomaliaga wanawake waolewe sijui huwa kuolewa ni lazima!!!
Hahaaaaa long live jf.
 
Weusi tunawaza kuoa na kuzaa tu.. Hatuwazi kugundua vitu vya kuifanya dunia iwe sehemu nzuri ya kuishi.. Tunawaza kujaza watu tu duniani.. Akili finyu kabisa

Imagine!...kisha kuzama baharini wakijaribu kutorokea nchi za wenzao(immigrants) ....wenzao waliowekeza muda wao wote kuzijenga wakati wao wakiwaza ngono,kuoana ovyo ovyo na kuzaana.
Wacha wachapwe sindano za infertility ,Ebola na HIV ndio wakome kujaza taabu,umasikini na njaa ulimwenguni kwa sababu hawawezi kamwe kuwaza ni jinsi gani watafanya dunia pawe pahali pazuri pa kuishi.....wao ni kuwaza tu jinsi ya kujaza.

Greetings from Kenya.
 
Ila ukiona mwanaume kafika miaka 40 hajaoa ujue ana walakini.....

Atakuwa kigego huyo
 
Imagine!...kisha kuzama baharini wakijaribu kutorokea nchi za wenzao(immigrants) ....wenzao waliowekeza muda wao wote kuzijenga wakati wao wakiwaza ngono,kuoana ovyo ovyo na kuzaana.
Wacha wachapwe sindano za infertility ,Ebola na HIV ndio wakome kujaza taabu,umasikini na njaa ulimwenguni kwa sababu hawawezi kamwe kuwaza ni jinsi gani watafanya dunia pawe pahali pazuri pa kuishi.....wao ni kuwaza tu jinsi ya kujaza.

Greetings from Kenya.

i already like you.

from TZ
 
af nikajua we ni dem asa men unalalamika mwanaume mwenzako hajaoa dah! unataka nini sasa tukuoe wewe au tuchukue mkeo tuoe ndo ufurahi
 
Binafsi kuwa na mtoto ndo muhimu, hayo ya ndoa bakini nayo nyie wenyewe.
Hao wanawake wa kuoa wapo wapi?
 
Hivi inakuwaje mwanaume mzima unakuwa na pesa za kutosha, umefika miaka 30 hadi 40 hapo katikati, lakini bado unashangaa anakuwa na girl friend tu, au pengine hata halijaoa?

Hivi huwa ni tatizo gani, huwa yananikera halafu dah.

Nilikuwa nasoma na jamaa mmoja hivi, watoto wa huko masakimasaki huko anajifanya mwenyewe ni mambo safi, lakini story zake zote "my girlfriend".

Wenzake tumeoa tangu tukiwa na 25 wakati hata maisha hayajawa mazuri na maisha yameboreka kuwa mazuri tukiwa ndani na wake zetu kwa kushirikiana na wake zetu kujenga maisha.

Sasahivi tuna watoto wakubwa kabisa tunahangaika kusomesha yeye hana mtoto anabadilisha tu wasichana, hela anayo, lakini akili ya kuoa hana.

Wanaume wenzangu mnakera sana wakati mwignine.

Afadhali wewe uliyejionea hilo!

Watu wamekuwakia kwasababu ukweli unauma. Tena umewachoma ipasavyo. Basi kama mnajifanya mnatafuta maisha endeleeni kuyatafuta na acheni kuwazeesha mabinti za watu.

Kuoa hamuoi kazi kuwapa mimba mabinti za watu na kuwaharibia future. Na wengine mnawaweka kabisa majumbani kwenu ili wawafulie na kuwapikia...sasa ya nn kumgeuza binti wa watu km tahira eti akufanyie shughuli zako zote lkn kwenda kumtolea mahali kwao unaona shida. Mnaboa kwa kweli..

Majukumu hayaishi ht siku moja, kwahiyo msitudanganye hp eti ooh tunatengeneza maisha!! Uongo mtupuuu.. na siku zote kaa ukijua wawili ni bora kuliko mmoja. Unapooa mnakuwa wawili mtawaza pamoja..mtajijenga pamoja na mtaendelea pamoja. Kwahiyo muache kujitafutia sababu.

Kama hamtaki kuoa acheni na kuzini na wasichana wa watu!Hapo ndo tutaenda sawa hata ukitaka ukae miaka 100 utajijua ili mradi tu hausumbui binti za watu.
 
Imagine!...kisha kuzama baharini wakijaribu kutorokea nchi za wenzao(immigrants) ....wenzao waliowekeza muda wao wote kuzijenga wakati wao wakiwaza ngono,kuoana ovyo ovyo na kuzaana.
Wacha wachapwe sindano za infertility ,Ebola na HIV ndio wakome kujaza taabu,umasikini na njaa ulimwenguni kwa sababu hawawezi kamwe kuwaza ni jinsi gani watafanya dunia pawe pahali pazuri pa kuishi.....wao ni kuwaza tu jinsi ya kujaza.

Greetings from Kenya.

Hii ni cycle ya mbongo sijui kama huko Kenya ipo hivyo.
-Kusoma hadi chuo
-Kutafuta kazi
-Kupata kazi
-Kuomba mkopo wa gari
-Kuoa
-Kukopa nyumba
-Kuanza kusomesha watoto.

Yani hakuna cha maana wanachowaza zaidi ya kuoana, hakuna hata muda wa kutengeneza adventures, hakuna muda wa kuishi maisha ya ndoto yako.
Chuo nilisoma na wanafunzi toka Uganda, wenyewe mtu kuoa akiwa na miaka 40 ni jambo la kawaida sana, wanatushangaa watanzania tunaooa tukiwa na miaka 25-30.
 
Hivi inakuwaje mwanaume mzima unakuwa na pesa za kutosha, umefika miaka 30 hadi 40 hapo katikati, lakini bado unashangaa anakuwa na girl friend tu, au pengine hata halijaoa?

Hivi huwa ni tatizo gani, huwa yananikera halafu dah.

Nilikuwa nasoma na jamaa mmoja hivi, watoto wa huko masakimasaki huko anajifanya mwenyewe ni mambo safi, lakini story zake zote "my girlfriend".

Wenzake tumeoa tangu tukiwa na 25 wakati hata maisha hayajawa mazuri na maisha yameboreka kuwa mazuri tukiwa ndani na wake zetu kwa kushirikiana na wake zetu kujenga maisha.

Sasahivi tuna watoto wakubwa kabisa tunahangaika kusomesha yeye hana mtoto anabadilisha tu wasichana, hela anayo, lakini akili ya kuoa hana.

Wanaume wenzangu mnakera sana wakati mwignine.

What have you achieved kwenye ndoa yako yako hadi sasa?
 
Kuoa na kuolewa ni jambo binafsi sana wala huwezi kuoa eti kwasababu jirani zako wameoa miaka 18, 40, hata hamsini poa tu ila ndo pale mtu binafsi atakaporidhia yeye na nafsi yake ndo aoe au aolewe
 
Hivi inakuwaje mwanaume mzima unakuwa na pesa za kutosha, umefika miaka 30 hadi 40 hapo katikati, lakini bado unashangaa anakuwa na girl friend tu, au pengine hata halijaoa?

Hivi huwa ni tatizo gani, huwa yananikera halafu dah.

Nilikuwa nasoma na jamaa mmoja hivi, watoto wa huko masakimasaki huko anajifanya mwenyewe ni mambo safi, lakini story zake zote "my girlfriend".

Wenzake tumeoa tangu tukiwa na 25 wakati hata maisha hayajawa mazuri na maisha yameboreka kuwa mazuri tukiwa ndani na wake zetu kwa kushirikiana na wake zetu kujenga maisha.

Sasahivi tuna watoto wakubwa kabisa tunahangaika kusomesha yeye hana mtoto anabadilisha tu wasichana, hela anayo, lakini akili ya kuoa hana.

Wanaume wenzangu mnakera sana wakati mwignine.

Heeh
Mkuu kwani sheria yakuowana jinsia moja TZ JK ameshaisine.???
Maana inakuwaje wewe mwanamke umeowa...!!
Umeowa kwa Sheria ipi...!!?
Au ndio una act uwanaume...!!?
Jikubali swety..
Point ni kwamba mwanaume hakuzaliwa ili aowe ..
Tumezaliwa ili tutekeleze jukumu flani...!!
Kuowa ni Xtra tu, kwani hata Bibilia imeandika mwanamke nimsaidizi kwa mwanaume ..
So endapo siitaji usaidizi kwani nilazima niowe...!!?
Kuowa sio fashion ...
 
Ssbabu:Escapism ..yaani hofu na kukimbia majukumu ya ukuu wa familia
Kubwa jinga...kudhania yeye ni mtoto kila siku.
Utoto wa mama...kudekezwa nyumbani hadi kijana anakuwa hapendi kupata majukumu.
Matatizo ya kiafya.....viungo vya siri bure kabisa.
Domo zege...hawezi kutongoza wanawake.Atongozewe.
Maumivu ya kale katika mapenzi....walishaumizwa wanaogopa na kuchukia mapenzi mapya.
Homosexuals...hahitaji mke.
Naandika haraka nawahi maandamano ya UKAWA😀😀 .......ntarudi mkuu.
 
Afadhali wewe uliyejionea hilo!

Watu wamekuwakia kwasababu ukweli unauma. Tena umewachoma ipasavyo. Basi kama mnajifanya mnatafuta maisha endeleeni kuyatafuta na acheni kuwazeesha mabinti za watu.

Kuoa hamuoi kazi kuwapa mimba mabinti za watu na kuwaharibia future. Na wengine mnawaweka kabisa majumbani kwenu ili wawafulie na kuwapikia...sasa ya nn kumgeuza binti wa watu km tahira eti akufanyie shughuli zako zote lkn kwenda kumtolea mahali kwao unaona shida. Mnaboa kwa kweli..

Majukumu hayaishi ht siku moja, kwahiyo msitudanganye hp eti ooh tunatengeneza maisha!! Uongo mtupuuu.. na siku zote kaa ukijua wawili ni bora kuliko mmoja. Unapooa mnakuwa wawili mtawaza pamoja..mtajijenga pamoja na mtaendelea pamoja. Kwahiyo muache kujitafutia sababu.

Kama hamtaki kuoa acheni na kuzini na wasichana wa watu!Hapo ndo tutaenda sawa hata ukitaka ukae miaka 100 utajijua ili mradi tu hausumbui binti za watu.

Pumba tupu..
Hakuna point..
Wapi mleta mada Kazungumzia swala la kupeana Mimba..!!!??
Kama umepewa ukakataliwa tulia tuliiii kama maji ya mtungi maana hukulazimishwa ulitanua mwenyewe kwa ushamba wako ..!!
 
Ulichokiandika kinaonyesha wewe ni mtu na namna gani. So nishakuelewa na huwezi kunipotezesha mda wangu kukujibu zaidi.Unakurupuka..huelewi na huwezi kuchanganua mambo. Sijui level yako ya elimu ni ipi!?

Ila ukweli unauma..na si ajabu nimekulenga. Utajijuaaa...nishakupa ukweli kaa ukilielewa hilo.

Uwezo wako wa kuchanganua ni finyuuu...pole sana!!

Kwa kumalizia mimi sio msichana tahira ambae najirahisisha kila mtu aupitie mwili wangu. Sijapewa mimba na sina mpango wa kuzalishwa na mtu asiye na future. Sipo zat cheap kijana Najiheshimu kulikoooo...na ni mtu mwenye hadhi yangu. Kaa hapo kijana!

Ila ni mwanamke kwahiyo nawasitikia sana wanawake wenzangu wanaozalishwa na vijana wapenda mgono lkn wakwepa majukumu..sababu wanapotezewa muda wao na maisha yao.

Kwahiyo km ndo tabia yako kijana poleee maana ujumbe umekufikia. Acha kuwafanya wanawake km vyombo vya starehe..km unampenda muoe...unakaa nae miaka yote ya nn km hutaki kuoa.
 
Back
Top Bottom