Cataliyya
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 781
- 371
Wewe ndo bure kabisa, kwani umeambiwa huyo jamaa ambaye hawazi kuoa ni mweupe? Acha kujidharau.
duh jf inanipa raha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndo bure kabisa, kwani umeambiwa huyo jamaa ambaye hawazi kuoa ni mweupe? Acha kujidharau.
Mbona Lemutuz anamiaka 56 alafu ana girlfriend mabebez msituzingue bana kuoa majaliwa
Ukioa mapema kuna uwezekano mkubwa wa kuupata umasikini
ambayo haijaoa mingi haipendi maendeleo ipo ipo tu inasubiri mtu wa kuja kumuinua labda malaika, walio ndani ya ndoa wengi wameendelea wanapata ile stability na uchu wa kutafuta maendeleo inapatikana nguvu kutoka pande zote mbili
Hivi inakuwaje mwanaume mzima unakuwa na pesa za kutosha, umefika miaka 30 hadi 40 hapo katikati, lakini bado unashangaa anakuwa na girl friend tu, au pengine hata halijaoa?
Hivi huwa ni tatizo gani, huwa yananikera halafu dah.
Nilikuwa nasoma na jamaa mmoja hivi, watoto wa huko masakimasaki huko anajifanya mwenyewe ni mambo safi, lakini story zake zote "my girlfriend".
Wenzake tumeoa tangu tukiwa na 25 wakati hata maisha hayajawa mazuri na maisha yameboreka kuwa mazuri tukiwa ndani na wake zetu kwa kushirikiana na wake zetu kujenga maisha.
Sasahivi tuna watoto wakubwa kabisa tunahangaika kusomesha yeye hana mtoto anabadilisha tu wasichana, hela anayo, lakini akili ya kuoa hana.
Wanaume wenzangu mnakera sana wakati mwignine.
Afadhali wewe uliyejionea hilo!
Watu wamekuwakia kwasababu ukweli unauma. Tena umewachoma ipasavyo. Basi kama mnajifanya mnatafuta maisha endeleeni kuyatafuta na acheni kuwazeesha mabinti za watu.
Kuoa hamuoi kazi kuwapa mimba mabinti za watu na kuwaharibia future. Na wengine mnawaweka kabisa majumbani kwenu ili wawafulie na kuwapikia...sasa ya nn kumgeuza binti wa watu km tahira eti akufanyie shughuli zako zote lkn kwenda kumtolea mahali kwao unaona shida. Mnaboa kwa kweli..
Majukumu hayaishi ht siku moja, kwahiyo msitudanganye hp eti ooh tunatengeneza maisha!! Uongo mtupuuu.. na siku zote kaa ukijua wawili ni bora kuliko mmoja. Unapooa mnakuwa wawili mtawaza pamoja..mtajijenga pamoja na mtaendelea pamoja. Kwahiyo muache kujitafutia sababu.
Kama hamtaki kuoa acheni na kuzini na wasichana wa watu!Hapo ndo tutaenda sawa hata ukitaka ukae miaka 100 utajijua ili mradi tu hausumbui binti za watu.
Leo ww ndo wa kukomenti hivi? mbona sitaki kuamini?kwani kuoa lazima!! kila mtu na mipango yake bwana.
we hiyo miaka 25 wengine bado wapo vyuoni na ndio kwanza masomo yamekolea.. kuoa sio fashion, mtu unaoa ndani una godoro tu, wengine pesa zipo lakini anajua nini hasa anachosubiri si kwamba amekaa tu we hujui anawaza nini au amepanga nini..
Ndo hapo nami nashangaa leo yamewakuta yapi?Chi ndo hapo chacha!! Leo wanaume humu wamebadilika kama sio wale wa jf!! Hata siamini, wanavyowashupaliaga wanawake ila humu leo wanavyotoa madongo, eti maisha sio kuoa au kuolewa, sasa kule wanakowakomaliaga wanawake waolewe sijui huwa kuolewa ni lazima!!!
Hahaaaaa long live jf.
Acha kupotosha umma ww!
Hizo western culture haziingiliani na maisha halisi ya kibongo!
Ndio maana katiba ya Tz inasema mojawapo ya sifa za rais awe ameoa au kuolewa!
Alafu kuoa au kuolewa ni sifa nzuri kwa jamii na humpendeza Mungu.
Mkuu hivi kweli na akili zako unadhani kuwa na mke au mume ndio uwezo wa kuongoza? Au kwako kwa sababu imeandikiwa kwenye katiba ndio kama mstahafu kwako?
Hivi suala la kuoa au kuolewa lina uhusiano gani na utamaduni? naweza kukubali kuwa aina ya kuona inahusiana na utamaduni lakini kuoa kwenyewe ni auamuzi na uwezo wa mtu.
Ulaya kuna watu wanaoa wakiwa na miaka 20, sasa tunaweza kusema tusioe na miaka 20 kwa kuwa ni western culture? au wanaaolewa na miaka 20 tunaweza kusema tusifanye hivyo kwa kuwa western culture wanafanya hivyo? Unaamini kuwa ukioa unaoa kwa ajili ya sifa au kumfurahisha mungu?
Vizuri tukielimisha mkuu, wengine tuko nyuma kiasi.
uniqe DADA swala la mtu kuoa linahitaji kujipanga, na kujipanga si kuwa na pesa tu hata utayari wa akili.Leo ww ndo wa kukomenti hivi? mbona sitaki kuamini?
Sijakuelewa hasa point yako iko wapi hapa?
Nimekuelewa kiongozi lakini kwa nini mwanamke anayefikisha miaka 30 hajaolewa huwa mnampiga majungu na kumuita majina mabaya?coz kama kuoa ni maamuzi ya mtu likewise kuolewa napo ni maamuzi ya mtu mwenyewe huwezi kulazimisha kuingia kwenye ndoa kisa marafiki zako,schoolmate,majirani zako wote wameoewa ndio ni zaidi ya tendo la ndoa so leo yamewakuta wanaume mnakuwa wakali hebu acheni kuogopa majukumu bana OENI
Nimekuelewa kiongozi lakini kwa nini mwanamke anayefikisha miaka 30 hajaolewa huwa mnampiga majungu na kumuita majina mabaya?coz kama kuoa ni maamuzi ya mtu likewise kuolewa napo ni maamuzi ya mtu mwenyewe huwezi kulazimisha kuingia kwenye ndoa kisa marafiki zako,schoolmate,majirani zako wote wameoewa ndio ni zaidi ya tendo la ndoa so leo yamewakuta wanaume mnakuwa wakali hebu acheni kuogopa majukumu bana OENI