baharia 1
JF-Expert Member
- Sep 13, 2019
- 3,016
- 4,404
- Thread starter
- #21
Shukrani mkuu Tlaatlaah kwa kuona mbali. Yaani umenena ukweli mtupu! Mwaka 2000 hadi leo ni miaka 26 mjini, jiji limebadilisha marais wanne, lakini yeye bado anapigania siti kwenye daladalaumepiga kwenye mshono kabisa gentleman, halafu kisayansi zaidi.
well done,
Jamaa kaja dar mwaka 2000, mpaka leo yupo yupo tu wakati aliowaacha kijijini wana mijengo ya maana, mifamilia mikubwa na miradi kibao, yeye yupo tu mjini hata akili ya kua afisa usafirshaji tu hana, atakua na akili ya kiwanja kweli?[emoji205]
