Mtaachana
JF-Expert Member
- Mar 27, 2025
- 2,049
- 6,903
Kwa hiyo unamaanisha mleta uzi anakaa kwa dada yake kazi yake kubwa ni kugombania limoti na watoto wa dadake ili waangalie kombolelaUngekuwa ni mwanaume usingesema hivyo.
Kwa hiyo unamaanisha mleta uzi anakaa kwa dada yake kazi yake kubwa ni kugombania limoti na watoto wa dadake ili waangalie kombolelaUngekuwa ni mwanaume usingesema hivyo.
Wakuu, naomba nizungumze na wale wazee wa jiji ambao kazi yao kubwa mjini ni kubadilisha namba za umri kwenye vitambulisho, lakini maisha yao yamesimama kama sanamu ya Posta. Hivi inakuwaje mwanaume mzima, una akili zako timamu, upo mjini miaka 15 hadi 20—eti unatafuta maisha. Swali langu ni dogo sana, Hayo maisha mnayoyatafuta kwani yalijificha wapi kiasi kwamba miaka yote hiyo hamjayapata tu? Mtu upo Dar au miji mikubwa hapa nchini tangu enzi za mtandao wa Celtel, lakini mpaka leo hii tunavyoongea, hata kiwanja cha miguu mitano kwa mitano huna! Kila mwaka unachofanya ni kuongeza namba ya umri tu kwenye cheti chako cha kuzaliwa, Kazi yako kubwa mjini ikifika mwezi wa kumi na mbili ni kulalamika mwaka umeenda kasi sana, Kasi gani wakati we umeganda. Ukiangalia akaunti yako ya benki ni sifuri, ukiangalia mali uliyomiliki ni sifuri, zaidi ya maboksi ya feni na TV uliochukua kwa mkopo. Ukweli mchungu, Mjini siyo mama yako mzazi kwamba atakuhurumia kwa sababu umekaa sana kwenye benchi lake. Kama miaka 20 imepita na bado unalipa kodi ya chumba kimoja ambacho mwenye nyumba akikohoa tu presha inapanda, jua umefeli, Ulichonacho siyo subira ya mafanikio, huo ni ulemavu wa fikra. Ushauri wa Bure, Funganya Virago, Rudi Kijijini Acheni kungangania dharau za kuitwa wa mjini wakati mifuko yenu imetoboka, Kuliko uendelee kuwa mzigo kwa ndugu na kujaza idadi ya watu kwenye daladala bila mpango Funganya virago vyako. Rudi kijijini kwenu. Shika jembe, ukalime. Kule kijijini ukisafisha heka mbili za mahindi au alizeti, unapata uhakika wa maisha na unaokoa heshima yako, Mjini pamekuwa shamba la bibi kwa sababu ya watu kama ninyi mnaoogopa jua la shambani lakini mnaweza kushinda vijiweni mkitathmini mechi za Ulaya kuanzia asubuhi hadi jioni. Mwanaume ni vitendo na matokeo, siyo idadi ya miaka uliyofika mjini. Kama huna kiwanja, huna mbele wala nyuma, rudi kijijini ukajikwamue kiuchumi kabla uzee haujakukuta. Nawasilisha kishujaa. Kama imekugusa, kachukue fomu ya kurudi kwenu.
Hizi fikra ndio zinazalisha mafisadi.Wakuu, naomba nizungumze na wale wazee wa jiji ambao kazi yao kubwa mjini ni kubadilisha namba za umri kwenye vitambulisho, lakini maisha yao yamesimama kama sanamu ya Posta.
Hivi inakuwaje mwanaume mzima, una akili zako timamu, upo mjini miaka 15 hadi 20—eti unatafuta maisha.
Swali langu ni dogo sana, Hayo maisha mnayoyatafuta kwani yalijificha wapi kiasi kwamba miaka yote hiyo hamjayapata tu?
Mtu upo Dar au miji mikubwa hapa nchini tangu enzi za mtandao wa Celtel, lakini mpaka leo hii tunavyoongea, hata kiwanja cha miguu mitano kwa mitano huna! Kila mwaka unachofanya ni kuongeza namba ya umri tu kwenye cheti chako cha kuzaliwa, Kazi yako kubwa mjini ikifika mwezi wa kumi na mbili ni kulalamika mwaka umeenda kasi sana, Kasi gani wakati we umeganda.
Ukiangalia akaunti yako ya benki ni sifuri, ukiangalia mali uliyomiliki ni sifuri, zaidi ya maboksi ya feni na TV uliochukua kwa mkopo.
Ukweli mchungu, Mjini siyo mama yako mzazi kwamba atakuhurumia kwa sababu umekaa sana kwenye benchi lake. Kama miaka 20 imepita na bado unalipa kodi ya chumba kimoja ambacho mwenye nyumba akikohoa tu presha inapanda, jua umefeli, Ulichonacho siyo subira ya mafanikio, huo ni ulemavu wa fikra.
Ushauri wa Bure, Funganya Virago, Rudi Kijijini
Acheni kungangania dharau za kuitwa wa mjini wakati mifuko yenu imetoboka, Kuliko uendelee kuwa mzigo kwa ndugu na kujaza idadi ya watu kwenye daladala bila mpango
Funganya virago vyako.
Rudi kijijini kwenu.
Shika jembe, ukalime.
Kule kijijini ukisafisha heka mbili za mahindi au alizeti, unapata uhakika wa maisha na unaokoa heshima yako, Mjini pamekuwa shamba la bibi kwa sababu ya watu kama ninyi mnaoogopa jua la shambani lakini mnaweza kushinda vijiweni mkitathmini mechi za Ulaya kuanzia asubuhi hadi jioni.
Mwanaume ni vitendo na matokeo, siyo idadi ya miaka uliyofika mjini. Kama huna kiwanja, huna mbele wala nyuma, rudi kijijini ukajikwamue kiuchumi kabla uzee haujakukuta.
Nawasilisha kishujaa. Kama imekugusa, kachukue fomu ya kurudi kwenu.
Toka anunue kiwqnja Kitonga cha laki 9 miguu 15 kw 15 anaona wenzie wajingaMada zako nyingi zimekaa kama mtu aliopigwa na maisha vya kutosha
Kujenga ni woga wa maisha.Wakuu, naomba nizungumze na wale wazee wa jiji ambao kazi yao kubwa mjini ni kubadilisha namba za umri kwenye vitambulisho, lakini maisha yao yamesimama kama sanamu ya Posta.
Hivi inakuwaje mwanaume mzima, una akili zako timamu, upo mjini miaka 15 hadi 20—eti unatafuta maisha.
Swali langu ni dogo sana, Hayo maisha mnayoyatafuta kwani yalijificha wapi kiasi kwamba miaka yote hiyo hamjayapata tu?
Mtu upo Dar au miji mikubwa hapa nchini tangu enzi za mtandao wa Celtel, lakini mpaka leo hii tunavyoongea, hata kiwanja cha miguu mitano kwa mitano huna! Kila mwaka unachofanya ni kuongeza namba ya umri tu kwenye cheti chako cha kuzaliwa, Kazi yako kubwa mjini ikifika mwezi wa kumi na mbili ni kulalamika mwaka umeenda kasi sana, Kasi gani wakati we umeganda.
Ukiangalia akaunti yako ya benki ni sifuri, ukiangalia mali uliyomiliki ni sifuri, zaidi ya maboksi ya feni na TV uliochukua kwa mkopo.
Ukweli mchungu, Mjini siyo mama yako mzazi kwamba atakuhurumia kwa sababu umekaa sana kwenye benchi lake. Kama miaka 20 imepita na bado unalipa kodi ya chumba kimoja ambacho mwenye nyumba akikohoa tu presha inapanda, jua umefeli, Ulichonacho siyo subira ya mafanikio, huo ni ulemavu wa fikra.
Ushauri wa Bure, Funganya Virago, Rudi Kijijini
Acheni kungangania dharau za kuitwa wa mjini wakati mifuko yenu imetoboka, Kuliko uendelee kuwa mzigo kwa ndugu na kujaza idadi ya watu kwenye daladala bila mpango
Funganya virago vyako.
Rudi kijijini kwenu.
Shika jembe, ukalime.
Kule kijijini ukisafisha heka mbili za mahindi au alizeti, unapata uhakika wa maisha na unaokoa heshima yako, Mjini pamekuwa shamba la bibi kwa sababu ya watu kama ninyi mnaoogopa jua la shambani lakini mnaweza kushinda vijiweni mkitathmini mechi za Ulaya kuanzia asubuhi hadi jioni.
Mwanaume ni vitendo na matokeo, siyo idadi ya miaka uliyofika mjini. Kama huna kiwanja, huna mbele wala nyuma, rudi kijijini ukajikwamue kiuchumi kabla uzee haujakukuta.
Nawasilisha kishujaa. Kama imekugusa, kachukue fomu ya kurudi kwenu.
Ujasiri wa maisha ukoje.Kujenga ni woga wa maisha.