Shukrani mkuu Tlaatlaah kwa kuona mbali. Yaani umenena ukweli mtupu! Mwaka 2000 hadi leo ni miaka 26 mjini, jiji limebadilisha marais wanne, lakini yeye bado anapigania siti kwenye daladalaumepiga kwenye mshono kabisa gentleman, halafu kisayansi zaidi.
well done,
Jamaa kaja dar mwaka 2000, mpaka leo yupo yupo tu wakati aliowaacha kijijini wana mijengo ya maana, mifamilia mikubwa na miradi kibao, yeye yupo tu mjini hata akili ya kua afisa usafirshaji tu hana, atakua na akili ya kiwanja kweli?[emoji205]
inasikitisha sana na kwakweli inafedhehesha sana,Shukrani mkuu Tlaatlaah kwa kuona mbali. Yaani umenena ukweli mtupu! Mwaka 2000 hadi leo ni miaka 26 mjini, jiji limebadilisha marais wanne, lakini yeye bado anapigania siti kwenye daladala
Haa wengine sie maji marefu usione umepata hako ka kiwanja miguu mitano ukaja kutishia watu humu. Umasikini unakusumbuaWewe app utoke Kwa shemeji yako
Umeandika jambo la msingi sana Shida ya vijana wengi wa mjini ni kujionana hofu ya kuchekwwa eti karudi kijijini amefeli Hawajui kuwa kufeli halisi ni kukaa mjini unazurura huku miaka inasogea.inasikitisha sana na kwakweli inafedhehesha sana,
na ni muhimu sana kuambiana ukweli, kwasababu itachochea wengi kuacha kabisa kubabaika na matumaini hewa kwamba eti siku moja atakuja kutusua maisha kwa kuzurura tu mjini.
ni muhimu sana kutambua kwamba maisha hayana extra time. Wasisubiri time ya kuwaforced na mazingira na kurejea vijijini mikono mitupu na wakiwa hawana kitu lakini pia hata nguvu za kufanya kazi zimeisha.
bado wanayo nafasi ya kuamua leo, mustakabali mwema wa maisha yao ya baadae [emoji205]
Labda cha kujenga KiwandaSiku hizi kuna wahindi wananunua viwanja.
Tupe nature ya utafutaji wa wahindi mkuu. Kuna cha kujifunza hapa.Labda cha kujenga Kiwanda
Mungu nifundishe kunyamazaDah ma jobless pro max kazi ipo.
kabisa gentlemanUmeandika jambo la msingi sana Shida ya vijana wengi wa mjini ni kujionana hofu ya kuchekwwa eti karudi kijijini amefeli Hawajui kuwa kufeli halisi ni kukaa mjini unazurura huku miaka inasogea.