Wewe umekigunduaje ilhali vyombo vyetu vya kudhibiti ubora wa bidhaa vimeshindwa? Unayo maabara yako binafsi? - tuambie mkuu na kama imesajiliwa.Kimefichwa ndani ya pafyumu kwa ustadi mkubwa sana. Wazungu hawatutakii mema mkuu.
Uchoko mkuu.
Hili halihitaji kipimo mkuu. Linahitaji matumizi ya akili, tena kidogo tu, utang'amua hilo bila shaka yoyote.Wewe umekigunduaje ilhali vyombo vyetu vya kudhibiti ubora wa bidhaa vimeshindwa? Unayo maabara yako binafsi? - tuambie mkuu na kama imesajiliwa.
Mkuu, hayo mambo ya deodorant na losheni achana nayo kabisa. Waachie wanawake na mashoga wajipake wenyewe.Mkuu unaweza kunipa darasa hapa maana mimi ni mtumiaji mzuri wa bidhaa za nivie both deodorant na body lotion ambazo ni for men
Ushoga huambukizwa kwa kuiga mkuu. Na kumbuka, kama ulivyosema, wanafunzi nao wana akili. Wakishajua kuwa mwalimu wetu ni shoga, hawatakaa wamuelewe anachofundisha darasani, hata angekuwa mwalimu mzuri kiasi gani. Cha muhimu tu mwalimu akishagundulika ni shoga, hatua inayofuata ni serikali kumfuta kazi arudi nyumbani akaendeleze ushoga wake.Ushoga unaambukizwaje mkuu? Nani huyo mtu atakayethubutu kuweka hadharani (Mbele ya darasa/wanafunzi) privacy ya mtu(mwl.) ili wanafunzi washawishike halafu waweze kuiga? Kumbuka wanafunzi nao wana alikili.
Alikuwa na tabia ya kufirwa na wanafunzi wake(primary).Siku hiyo kamchelewesha mtoto wa watu,mtoto kabanwa na mama yake ikabidi aeleze.Mwalimu akakamatwa,nafikiri alishahukumiwa.Sijaisikia bado mkuu. Kwani huyo mwalimu ni shoga? Kwanini serikali isimfute kazi kabla hajawaambukiza wanafunzi ushoga?
🤣🤣🤣Kujipodoa ni kujipaka vipodozi vya kishoga
Naunga mkono hoja kwanini ushindane na mkeo au dadako kwenye vipodozi!! Hii sio sawaHivi inakuwaje mwanaume unajipodoa hadi unamzidi mwanamke? Na wanaume wengine wanatembea na vioo na vitana kwenye pochi zao ili kuhakikisha wanajitazama na kujiboresha mara kwa mara? Kwangu mimi, kitendo cha mwanaume kujipodoa na kujipaka losheni na pafyumu nakiona kama kitendo cha kishoga. Siku za nyuma niliwahi kushuhudia mwanaume mmoja hadi anachoma nywele zake zinaonekana kama za mwanamke na bado anajiona yupo sawa. Hii haikubaliki hata kidogo katika jamii zetu ambazo siku zote tunakemea na kupambana dhidi ya ushoga.
View attachment 3640724
Kwa bahati mbaya, vitendo hivi vya kishoga huanza taratibu tangu wanaume wakiwa wavulana na mara nyingi hujifunza kutoka kwa mama zao. Ukimuona mtoto wa kiume anapenda kuandamana na mama yake kila mahali, hasa kwa wale wanawake wanaodanga, kuna asilimia kubwa ya mtoto huyo wa kiume kuiga matendo ya kike na hatimaye kutumbukia kwenye ushoga.
View attachment 3640733
MAONI YANGU
Mwanaume hupaswi kuwa soft na kupenda mambo ya kike kama vile kujipaka losheni, poda na pafyumu na ushenzi mwingine kama huo. Kwa mfano, mimi tangu nikiwa kijana hadi sasa nimekuwa babu mtarajiwa, sijwahi kujipaka hizo bidhaa za kishoga.
Natoa wito kwa wazazi, hasa wanaume, kuhakikisha kuwa mnawalea watoto wenu wa kiume kwa misingi thabithi ya kiafrika na kujiepusha na vtendo vinavyoweza kupelekea wakatumbukia kwenye ushoga. Hakikisha watoto wenu wa kiume wanakaa mbali na mama zao, hasa wakati wakiwa wadogo. Hii itawasaidia kutokuiga mambo ya kike na hatimaye kujiingiza kwenye ushoga unaoweza kuepukika. Samaki mkujne angali mbichi.
Nawasilisha.
Na muda sio mrefu wanaume watapaka rangi ya mdomoNaunga mkono hoja kwanini ushindane na mkeo au dadako kwenye vipodozi!! Hii sio sawa
Kweli mkuu ***** wanajichubua kishenzi hawa wahame nchi wanazingua so unaona Instagram huko wanaowafata wanajichubua na kujilemba mbaya zaidi ukiwasema unavamiwa wewe na kutukanwa harafu wanawake ndio wanawapendelea balaaaNa muda sio mrefu wanaume watapaka rangi ya mdomo
🤣🤣🤣🤣 Don't touch,,tuwasake hawa wahameSiku hizi wanatoboa pua, tena pua zote mbili na kuvaa hereni na kusukuka na ku-bleach nywele. Unakuta njemba na ndevu lakini nywele za njano au pink🤮🤮.
Unakuta njemba imevaa blouse 👚 na kisuruali ki-don't touch kimebana matako inatembea kimadaha🤮🤮.
He!halafu watu hawaoni kama ni tatizo kisa msaniiTayari wameishaanza mkuu. Daimond anapaka lipstick na kuvaa mawigi.
🤣🤣🤣... HICHO KIKWAPA NDICHO MABASHA WENGINE WANATAKA!
Kalpana punguza hasira jamaniWalaaniwe wanaume wote wanaowafanya wanaume wenzao kinyume na maumbile..na walaaniwe pia hao wanaokubali kufanywa hivyo kwa hiari yao...
Sodoma na gomora ilikua chukizo kwa Mungu (kwa sababu wanaume wa mji huo waliwaingilia vijana na wageni wa kiume kinyume)na aliamuru mji uteketezwe...
Sahihi unataka tako liwe laini kama puto ili iweje,,matako ya kiume lazima yawe na njumu miba za kuchomaUkiona mwanaume unajipaka losheni matakoni ujue anajiandaa kwa kazi maalumu😂😅🤣
🤣🤣🤣Watu wa bange mpooo?
Wanaume tuache kutumia NIVEA FOR MEN, tutakua mashoga wakuu😁
Mtu anayetetea haya mambo mi huwa hata simwelewi,kuna kipindi makonda alianzisha operesheni dhidi ya hawa watu lakini alivyoshambuliwa dah!.Kweli mkuu ***** wanajichubua kishenzi hawa wahame nchi wanazingua so unaona Instagram huko wanaowafata wanajichubua na kujilemba mbaya zaidi ukiwasema unavamiwa wewe na kutukanwa harafu wanawake ndio wanawapendelea balaaa