Mkuu unaona ni afadhali kuingia darasani ukiwa shoga kuliko kuingia ukiwa umevaa kimini? Du! Kwa mawazo haya, mapambano dhidi ya ushoga hayatafanikiwa.Huyo atakuwa sio mwl. Ualimu kama profession una maadili yake ambayo mwl. anapaswa kuyazingatia e.g. ni marufuku kwa mwl. kuingia darasani na mavazi ya kihuni au kutumia lugha za mitaani.
😆😆😆😆Kalpana punguza hasira jamani
[emoji23][emoji23][emoji23]Mbona kwenye jamii zetu miaka ya nyuma hatukuwa tukiona watu wakizungumzia au kushauri mambo ya ushoga lakini hakukuwa na mashoga? Tofauti na sasa hivi waongeleaji wa ushoga ni wengi lakini idadi ya mashoga ndo inaongezeka?
Kwa utafiti wangu mdogo niliofanya ni kwamba mara nyingi watu wanaotaka kuonekana wanachukia ushoga huwa ni mashoga wa siri yaani labda wanaliwa, wanakula au vyote kwa pamoja. Mwanaume rijali kuongelea ushoga kila mara au kuandika uzi ni kutaka kuficha tabia yake halisi.
Kwa mfano kuna msanii aliyejipa la Mamba (crocodile) ambaye kwenye maongezi yake lazima atamke ushoga ila cha kushangaza mwaka 2004 alimpiga mwenzake sababu ikiwa ni kugombea bwana huko chuga.
Ninashauri tulee watoto wetu kwa namna sahihi kama mila na desturi zinavyoelekeza na kila kitu kitakuwa sawa.
[emoji23][emoji23][emoji23]Tupate kwanza definition ya kujipodoa
Mimi siwezi kuwa mchafu kisa eti napambania kuwa mwanaume.
Am very much smart mpaka serum natumia na kwenye bag nina hand oil mkono ukipauka najipaka. Bafuni shower gel kama kawa. Kwenye gari kuna shoe shine sponge siruhusu kiatu kiwe na vumbi.
Kama unaona ni shoga niletee mkeo au dada yako atakupa majibu
Kadinda yupo wapi?Hivyo lotion na parfum ni ushoga??
Hao mashoga hawana uhusiano wowote na lotion wala perfume
Kaamua mwenyew kupigwa paipu na sio kusingizia matumizi ya manukato.
Parfum na lotion ndo ziliwafanya wakawa mashoga??Kadinda yupo wapi?
Jemsi delicious yupo wapi?
Kwamba singo mama ndio wanawalala mashoga??Singo mamaz bado hawajapumzishwa mkuu. Singo mamaz ndio chanzo kikuu cha ushoga hapa nchini.