Inakuwaje mwanaume unajipodoa hadi unamzidi mwanamke?

Status
Not open for further replies.
Astaghifilullah!Watafutiwe wanaume wawaoe kwa mahari ya debe mojamoja la ulezi.Hamna namna!
 
Na unashangaa baadhi ya wanaume wakishajipodoa, wanatupia video kwenye social media na wanapata followers wa kutosha. Hata hao followers wanaowafuata mashoga, nao ni mashoga tu, pumbavu zao!
Dah! Paul mwanangu mpendwa; nenda katafute pesa. Achana na kazi ya kuwasakama Me wanaojipodoa na mashoga.
 
Kwani amefanya hivyo kwa gharama zako? hao wanamuziki mnaowashabikia mbona msiwakatae au?
Sio lazima mtu akatae au akubali kila kitu anachofanya msanii anayempenda. Kumshabikia msanii ni kufurahia kazi yake, si kuidhinisha kila uamuzi wake binafsi. Pia, mtu anaweza kukosoa jambo analoona si sahihi bila maana kwamba limemgusa moja kwa moja au limemgharimu. Hoja ijadiliwe kwa hoja, si kwa kuhamishia mjadala kwenye ushabiki.
 
Wanaume wanaojipodoa wakiwemo wale wanaovaa cheni, Rasta n.k. wasikukere. Wanapenda ulimbwende na kuboresha Utanashati wao. Kumbuka mwanaume hata afanyeje ngozi yake itakuwa na mwonekano wa kiume (Tough skin) kutokana na Hormones za kiume.
Mwanaume hadi avae cheni na hereni si ndio shoga lililokubuhu kabisa mkuu? Juzi nilipanda basi nikakaa karibu na mwanaume mmoja nikaja kugundua amevaa hereni. Ilibidi nishuke kwenye basi nitafute usafiri mwingine kwa kuwa ile basi tayari ilishaingia mkosi, laana na balaa!
 
Kwa hiyo wewe unaweza kumshabikia msaani kama Diamond anayevaa mawigu, vikuku na hereni pamoja kupaka lipstick mkuu?
 
Nimeelewa unachomaanisha, lakini hoja yangu haikuwa kusema kila mwanaume anayejipodoa au kutumia manukato ni shoga. Utanashati na usafi wa mwili ni jambo la kawaida kwa mwanaume yeyote.

Nilichokuwa nikijadili ni pale ambapo mwanaume anaanza kuiga mwonekano au tabia zinazolenga kufanana na mwanamke kwa kiwango kikubwa. Hapo ndipo nilikuwa natoa mtazamo wangu, ambao si lazima kila mtu akubaliane nao.

Kuhusu wanaume kuvaa perfume, cheni, kuwa na rasta au kujisitiri vizuri, hayo peke yake si ushahidi wa ushoga. Kila mtu ana mtindo wake wa maisha na wa urembo.

Kwa hiyo tusichanganye mambo mawili tofauti. Tujadili hoja bila kuwahukumu watu kwa misingi ya mwonekano pekee.
 
Kwa hiyo wewe unaweza kumshabikia msaani kama Diamond anayevaa mawigu, vikuku na hereni pamoja kupaka lipstick mkuu?
Ndiyo, naweza kusikiliza au kuthamini muziki wa msanii kama Diamond Platnumz bila kumaanisha kwamba nakubaliana au ninaiga kila uchaguzi wake wa mavazi, mapambo au mtindo wa maisha.
Kumshabikia msanii kunaweza kuwa kwa sababu ya vipaji vyake, nyimbo zake au burudani anayotoa. Watu wengi hutenganisha kazi ya msanii na maamuzi yake binafsi kuhusu mavazi, hereni, mawigi, vikuku au vipodozi.
Kwa hiyo, kama mtu hapendi mtindo wa Diamond wa kuvaa mawigi, hereni au vipodozi, bado anaweza kupenda muziki wake. Vivyo hivyo, mwingine anaweza kupenda mtindo wake wa kuvaa na muziki wake pia. Hilo linategemea maoni na uchaguzi wa kila mtu.
 
Kama ni hivyo basi mashoga watakuwa wengi sana humu nchini...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…