aliekatakamba humutuu
JF-Expert Member
- Feb 1, 2024
- 1,439
- 2,412
kwanini iwe bei kubwa hivyoParachichi la kiwango 2000 bwashee!
nataka wakulima waje hapa watuambie shida ni nini hadi inakuwa hiviNjoo unguja unauziwa 2500/= na bado ni mabovu
kwanini iwe bei kubwa hivyo
heri huko ni 1500 huku ni 4000aisee hapa Dar tunaibiana sana haiwezekani parachichi bei ya chini iwe 1500 tena hilo la bukujero ni low quality
kwani uzalishaji wake umekuwaje hadi yauzwe bei hivi?utafikiri tunaagiza kutoka China
Uza jicho uishi Darkwanini iwe bei kubwa hivyo
Sie kwetu bure5book!nataka wakulima waje hapa watuambie shida ni nini hadi inakuwa hivi
Kuna kitu kinaitwa market connection Mkuu, Kulima ni kitu kimoja, lakini kupata masoko ya nje yanayolipa vizuri ni ishu nyingine kabisa. Usipokuwa na connection yatakuozea tu.Kwahiyo mnamaanisha kuwa mtu akilima parachichi kwa ukubwa tayari anapata utajiri pale atakapouza?
Cc Marcostilone