jah bless xon
Senior Member
- Apr 4, 2019
- 147
- 318
Wafanyabiashara wananunua miti kabisa..yakiwa mabichi..juzi juzi tu hapa nimetoka kuuza mti mmoja 250k..hata bado hayaja komaa
Mademu wakianza kuwa exported nahama nchi.Sio Parachichi tu,
Mchele
Unga
Ndizi mbichi
Nyama buchani, ng'ombe, mbuzi, kondoo
Samaki
Kuku
Mboga za majani n.k
Vifaa vya ujenzi ikiwepo,
Cement
Bati
Nondo
N.k
N.k
Wakulima wenyewe yako yanawaozea!Kwahiyo mnamaanisha kuwa mtu akilima parachichi kwa ukubwa tayari anapata utajiri pale atakapouza?
Cc Marcostilone
Kwahiyo Masaki siyo Dar?We unaishi masaki.!
Dar gani parachichi buku 4.!?
We unaishi masaki.!
Dar gani parachichi buku 4.!?
Kikimo si kitu rahisi jombaanataka wakulima waje hapa watuambie shida ni nini hadi inakuwa hivi
Mwaka huu parachichi zimeisha mitini zote kwa pamoja zakisasa na kienyeji maranyingi huwa zinapokezana zinapoisha zakienyeji unakuta ndio zakisasa zinaanza,,Mbeya sasaiv parachichi lajero kama lakuonjeshwa ,lamiasaba ndio kidogo zuri tena nihaya yakisasa ,ukikuta lakienyeji ambayo maranyingi yanakuwa makubwa kuliko yakisasa bei nikuanzia buku, hadi 1500,sasa je huko Dar mtauziana vipi,,huko shambani kuna jamaa wanakujaga kununua parachichi reject wenyewe wanaita kusafisha shamba,kakiroba walichokuwa wanakanunua kwa 40,000 sasaiv bila 100,000 mkulima hakupi mzigonataka wakulima waje hapa watuambie shida ni nini hadi inakuwa hivi
DD&SSnataka wakulima waje hapa watuambie shida ni nini hadi inakuwa hivi
Parachichi likiuzwa 4K tz jitafakariMbona hata kimara 4000
Mkuu kwahiyo kila mtu aende buguruni akanunue parachichi za mafungu?Parachichi likiuzwa 4K tz jitafakari
Buguruni yale OG fungu Buku.!
We unanunua vp parachichi broiler kwa 4k hauko sawa hata kama inakera