Inakuwaje parachichi tunauziwa bei kubwa hivi?

Dah dunia haina usawa,

Huku Njombe roba la debe saba likijaa elfu 10
 
Aisee hapa Dar tunaibiana sana haiwezekani parachichi bei ya chini iwe 1500 tena hilo la bukujero ni low quality

Kwani uzalishaji wake umekuwaje hadi yauzwe bei hivi?utafikiri tunaagiza kutoka China
Lika ya kwako kukwepa bei mkuuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna haya maparachichi makubwa kama papai sijui yanalimwa wapi, wanauza 4,000. Sehemu nyingine wanajiongeza wanauza kwa vipande
We unaishi masaki.!

Dar gani parachichi buku 4.!?
 
Aisee hapa Dar tunaibiana sana haiwezekani parachichi bei ya chini iwe 1500 tena hilo la bukujero ni low quality

Kwani uzalishaji wake umekuwaje hadi yauzwe bei hivi?utafikiri tunaagiza kutoka China
Long story short wakulima Wana masoko sasa hivi, Matunda mengi Tanzania yanauzwa nje, si Tu maparachichi Machenza, Maembe, Mapeas, zabibu etc watu wananunua mashambani huko hata Mjini hayaji, Mjini sasa hivi tunakula Matunda ya South Africa.
 
Aisee hapa Dar tunaibiana sana haiwezekani parachichi bei ya chini iwe 1500 tena hilo la bukujero ni low quality

Kwani uzalishaji wake umekuwaje hadi yauzwe bei hivi?utafikiri tunaagiza kutoka China

Sio Parachichi tu,
Mchele
Unga
Ndizi mbichi
Nyama buchani, ng'ombe, mbuzi, kondoo
Samaki
Kuku
Mboga za majani n.k

Vifaa vya ujenzi ikiwepo,
Cement
Bati
Nondo
N.k
N.k
 
Kilimanjaro nilikuta moja ni 700 , 1000 au kwa matatu 2000 kwelu Dar sio parachichi tu bidhaa nyingi huwa bei juu kulinginisha na sehemu nyingine
 
Baada ya soko la nje la parachichi kufunguka matokeo yake parachichi limepanda thamani .
 
Aisee hapa Dar tunaibiana sana haiwezekani parachichi bei ya chini iwe 1500 tena hilo la bukujero ni low quality

Kwani uzalishaji wake umekuwaje hadi yauzwe bei hivi?utafikiri tunaagiza kutoka China
moja ya tunda linanichosa kwa ni nanasi yaani nanasi size ya embe ni 2000
 
Dar ni connection kuna mida hilohilo tunda la 2,000 ukienda hyo mida linauzwa 400 adi 500
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…