Kama anavyodai kuwa Dubai ni nchi na Ina capacity ya kuingia mkataba wa kimataifa na nchi nyingine. Kumbe utapeli tu.@FaizaFoxy anakuambia Zanzibar nayo ni nchi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama anavyodai kuwa Dubai ni nchi na Ina capacity ya kuingia mkataba wa kimataifa na nchi nyingine. Kumbe utapeli tu.@FaizaFoxy anakuambia Zanzibar nayo ni nchi!
Hata mimi nilijiuliza imekuwaje Rais wa Zanzibar atoe uraia kwa wasio raia au kakasimiwa madaraka? Na kama ni hivyo kwa sheria ipi? Hebu wanasheria tusaidieniNiliona is sijaingia kwa undani, ila uraia wa JMT unatolewa na mamlaka moja tuu, rais wa JMT.
P
Habari za asubuhi, vipi mkesha uliishaje.Umeelewa habari husika au unaendeleza chuki za kijinga tu. Ukiwa na chuki hata uwezo wa kuchambua taarifa unapungua na kuangukia katika kuhalalisha chuki zako.
"Cha kusikitisha wazanzibar huku bara wanaonekana ni kwao. Tafasiri ya harakaharaka Hao waliopewa uraia na mwinyi wanaweza kuja huku bara wakiwa na haki sawa za utanzania"
Long story short waliopewa uraia sio Watanzania ni raia wa Comoro, Msumbiji, Rwanda n.k waliokaa Tanzania kwa zaidi ya miaka 50. Itakua ajabu sana Mtanzania kupewa uraia wa Tanzania.
Msihangaike, nililiona kwenye Tv sikushangaa kwani najua ∆ katiba iko gereji ∆.Nimeshangaa sana kusikia hilo maana huko Zanzibar watanganyika tunajulikama kama raia wa nchi nyingine.
Cha kusikitisha wazanzibar huku bara wanaonekana ni kwao. Tafasiri ya harakaharaka hao waliopewa uraia na mwinyi wanaweza kuja huku bara wakiwa na haki sawa za utanzania.
Kwa nini Rais wa Jamhuri ya muungano asingetoa huu uraia au aliyeandika kapotosha?
Sheria na protocol zimekaaje kwako Pascal Mayalla
Soma: Rais Mwinyi awakabidhi vyeti vya uraia wa Tanzania wahamiaji wasiohamishika 3,319
Hapa utakuwa umechanganya mambo mawili, mamlaka ya utoaji uraia na utekelezaji, rais wa JMT ni mamlaka halali ya jambo hili ila utekelezaji ni watendaji and it's a very long and tedious process mpaka kupewa uraia. Hata mtu akihukumiwa kifo death warrant lazima isainiwe na rais lakini anayenyonga sio rais, ila kimamlaka anayenyonga ni rais, Nyerere alinyonga wawili, Mwinyi akanyonga kadhaa, Mkapa, JK na JPM hawakunyonga mtu ila... (inasemekana walipotezea watu), wale jamaa wa Chuo Kikuu, kina Bazigiza, Sikitiko Kapile and the rest waliomletea Mwinyi Fujo, walikuja ku vanishes into thin air mmoja mmoja!).Hili ni tatizo that's why ni muhim kupunguza madaraka kwa Rais, cz angle hii ya kutoa uraia ilipaswa ishughulikiwe na maafisa pia na wataalam wa masuala ya kimataifa ili kufanya uchunguzi wa kina kuhusu muombaji. Then jopo zima liliridhie kua anastahili kupewa uraia ama la!!
Hivi Kwan Raisi wa Zanzibar hawezi kutoa uraia wa Zanzibar? Na kama akiwapa uraia wa Zanzibar si tayari wamekuwa watanzania automatically?Wewe ndo umekurupuka kujibu. Hoja ya mtoa mada ni kwamba kwakuwa uraia uliotolewa husitolewe na rais wa Jamuhuri?. Rais wa Zanzibar anawezaje kutoa uraia wa Jamuhuri?.
Mimi sio msemaji wa wazanzibari kawaulize wenyeweJe Kuna mzanzinari sio mtanzania?
Acha upotoshaji. Mweny mamlaka ya kutoa uraia wa Tanzania ni Rais wa JMT sio Rais wa ZanzibarUmeelewa habari husika au unaendeleza chuki za kijinga tu. Ukiwa na chuki hata uwezo wa kuchambua taarifa unapungua na kuangukia katika kuhalalisha chuki zako.
"Cha kusikitisha wazanzibar huku bara wanaonekana ni kwao. Tafasiri ya harakaharaka Hao waliopewa uraia na mwinyi wanaweza kuja huku bara wakiwa na haki sawa za utanzania"
Long story short waliopewa uraia sio Watanzania ni raia wa Comoro, Msumbiji, Rwanda n.k waliokaa Tanzania kwa zaidi ya miaka 50. Itakua ajabu sana Mtanzania kupewa uraia wa Tanzania.
Hakuna uraia wa ZanzibarHivi Kwan Raisi wa Zanzibar hawezi kutoa uraia wa Zanzibar? Na kama akiwapa uraia wa Zanzibar si tayari wamekuwa watanzania automatically?
Uraia ni mmoja mtanzania. Hakuna uraia wa Zanzibar.Je Kuna mzanzinari sio mtanzania?
Hakuna anayepinga kutoa uraia, kinachopingwa hayo mamlaka amepata wapi. Tanzania ni muungano wa tanganyika na Zanzibar,yeye kachaguliwa na Zanzibar hivyo Hana hayo mamlaka.Umeelewa habari husika au unaendeleza chuki za kijinga tu. Ukiwa na chuki hata uwezo wa kuchambua taarifa unapungua na kuangukia katika kuhalalisha chuki zako.
"Cha kusikitisha wazanzibar huku bara wanaonekana ni kwao. Tafasiri ya harakaharaka Hao waliopewa uraia na mwinyi wanaweza kuja huku bara wakiwa na haki sawa za utanzania"
Long story short waliopewa uraia sio Watanzania ni raia wa Comoro, Msumbiji, Rwanda n.k waliokaa Tanzania kwa zaidi ya miaka 50. Itakua ajabu sana Mtanzania kupewa uraia wa Tanzania.
Mantiki yang ni... Rais asiwe top wa mwisho kimaamuz! Yapo meng tunayaona ukiachilia mbali hili. Ambapo Rais ndie anaamua na hakuna wa kupinga!! So hapa unaweza rejea kauli ya teacher JKN... Katiba iliyopo akija Rais mwenye mamb flan ataabudiwa kama MUNGU!! Hoja yang ni madaraka kwa Rais yamekua too much!!Hapa utakuwa umechanganya mambo mawili, mamlaka ya utoaji uraia na utekelezaji, rais wa JMT ni mamlaka halali ya jambo hili ila utekelezaji ni watendaji and it's a very long and tedious process mpaka kupewa uraia. Hata mtu akihukumiwa kifo death warrant lazima isainiwe na rais lakini anayenyonga sio rais, ila kimamlaka anayenyonga ni rais, Nyerere alinyonga wawili, Mwinyi akanyonga kadhaa, Mkapa, JK na JPM hawakunyonga mtu ila... (inasemekana walipotezea watu), wale jamaa wa Chuo Kikuu, kina Bazigiza, Sikitiko Kapile and the rest waliomletea Mwinyi Fujo, walikuja ku vanishes into thin air mmoja mmoja!).
Madaraka ya rais tunayotaka yapunguzwe ni appointment powers, rais anateua kila mtu, kuanzia wakurugenzi wa Idara serikalini na maofisa wote wa ngazi za juu, kwa jirani zetu kukitokea nafasi, inatangazwa, wenye sifa waombe kazi, hata Jaji Mkuu wa Kenya ameomba kazi, akafanyiwa interview the best akapatikana ndipo rais akapelekewa kumteua na kuthibitishwa na Bunge.
Nafasi zikitangazwa hata ma Diaspora wetu wataomba na kutuletea experience yao.
Hata kuomba uongozi wa umma, ubunge, udiwani lazima kwanza upitie chama cha siasa, huu ni ujinga ambao tusikubali kuendelea nao!.
P
1. Tuna nchi ya Jamhuri wa muungano wa TanzaniaNimeshangaa sana kusikia hilo maana huko Zanzibar watanganyika tunajulikama kama raia wa nchi nyingine.
Cha kusikitisha wazanzibar huku bara wanaonekana ni kwao. Tafasiri ya harakaharaka hao waliopewa uraia na mwinyi wanaweza kuja huku bara wakiwa na haki sawa za utanzania.
Kwa nini Rais wa Jamhuri ya muungano asingetoa huu uraia au aliyeandika kapotosha?
Sheria na protocol zimekaaje kwako Pascal Mayalla
Soma: Rais Mwinyi awakabidhi vyeti vya uraia wa Tanzania wahamiaji wasiohamishika 3,319
Nimeshangaa sana kusikia hilo maana huko Zanzibar watanganyika tunajulikama kama raia wa nchi nyingine.
Cha kusikitisha wazanzibar huku bara wanaonekana ni kwao. Tafasiri ya harakaharaka hao waliopewa uraia na mwinyi wanaweza kuja huku bara wakiwa na haki sawa za utanzania.
Kwa nini Rais wa Jamhuri ya muungano asingetoa huu uraia au aliyeandika kapotosha?
Sheria na protocol zimekaaje kwako Pascal Mayalla
Soma: Rais Mwinyi awakabidhi vyeti vya uraia wa Tanzania wahamiaji wasiohamishika 3,319
Kwani na wao si watanzania mkuuNimeshangaa sana kusikia hilo maana huko Zanzibar watanganyika tunajulikama kama raia wa nchi nyingine.
Cha kusikitisha wazanzibar huku bara wanaonekana ni kwao. Tafasiri ya harakaharaka hao waliopewa uraia na mwinyi wanaweza kuja huku bara wakiwa na haki sawa za utanzania.
Kwa nini Rais wa Jamhuri ya muungano asingetoa huu uraia au aliyeandika kapotosha?
Sheria na protocol zimekaaje kwako Pascal Mayalla
Soma: Rais Mwinyi awakabidhi vyeti vya uraia wa Tanzania wahamiaji wasiohamishika 3,319
KasemajeNaibu waziri mkuu katoa tamko tayari