Inakuwaje Rais wa Zanzibar kumuapisha kadhi? Kwani serikali inasimamia ibada?

Inakuwaje Rais wa Zanzibar kumuapisha kadhi? Kwani serikali inasimamia ibada?

Kadhi ndo nani pengine kwa kiswahili rahisi kwanza!?
Swali zuri. Mimi mwenyewe nasubiri jibu. Nimeshawahi kusikia tu “mahakama ya Kadhi”, ambapo masuala yanaamumuliwa kwa kutumia taratibu na sheria za kiislam.
 
Back
Top Bottom