Zawadini
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 2,369
- 1,775
Mkuu umesma, ila hiyo ni miongoni mwa sheria zilizotungwa. Zanziibar haitumii sheria law perse.Zanzibar ni sehemu ya Tanzania yenye utawala wake wa ndani, asilimia 98 ya Wazanzibari ni Waislamu hivyo wanatumia sharia law, Kadhi Mkuu analipwa na serikali. Hata wakati wa ukoloni mpaka tunapata uhuru, makadhi walikuwepo na wanalipwa na serikali, hata mimi nimeshauri turuhusu mahakama za kadhi huku bara, ila tusiwalipe ma kadhi.
- Mwarobaini wa Kweli wa Mahakama ya Kadhi ni Huu, Wakristo, Waislamu, Kuukubali Bila Matatizo!.
- BAKWATA Ina matatizo ya Uendeshaji. Je, itaziweza Mahakama za Kadhi?!
P