The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Mbona vyeti vya ndoo wanatoa?
Vipi Bakwata huko Tanzania Bara huoni kama serikali inamkono wakeNimeona kwenye taarifa ya habari Rais wa Zanzibar anamuapisha kadhi mkuu wa Zanzibar kwani serikali inasimamia ibada za watu!?
Kwani serikali inateua bakwata!?Vipi Bakwata huko Tanzania Bara huoni kama serikali inamkono wake
Ndoa sio jambo la kidini ndoa kila mtu anaoaMbona vyeti vya ndoo wanatoa?
Kama sio la kidini kwa nini ndoa nyingi hufungiwa/hufungishwa nyumba za ibada?Kwani Ndoa ni suala la Kidini?
Kama sio la kidini kwa nini ndoa nyingi hufungiwa/hufungishwa nyumba za ibada?
Umeshasema “wa Zanzibar”Nimeona kwenye taarifa ya habari Rais wa Zanzibar anamuapisha kadhi mkuu wa Zanzibar kwani serikali inasimamia ibada za watu!?
Kadhi kazi yake Kwa serikali ni nini?
Swali zuri. Mimi mwenyewe nasubiri jibu. Nimeshawahi kusikia tu “mahakama ya Kadhi”, ambapo masuala yanaamumuliwa kwa kutumia taratibu na sheria za kiislam.Kadhi ndo nani pengine kwa kiswahili rahisi kwanza!?