mswaki mbuyu
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 708
- 445
Wewe hebu tuliza bichwa lako nimekwambia kadhi anafanya kazi chizi ya SMZ..sasa hapo kuna sheria ipi ya kiislamu...nimekusisitiza hebu fuatilia Papaa kafuata andiko lipi kukubali ushoga?Kwani kadhi jukumu lake nini kama si kuhukumu kwa mujibu wa sheria za kiisilamu alafu ajenda ya shoga unaileta hapa inahusikaje
Kadhi atahukumu watu wa dini zote? Hata kama atakuwa chini ya serikali ya smzWewe hebu tuliza bichwa lako nimekwambia kadhi anafanya kazi chizi ya SMZ..sasa hapo kuna sheria ipi ya kiislamu...nimekusisitiza hebu fuatilia Papaa kafuata andiko lipi kukubali ushoga?
Ni muajiriwa wa serikaliNimeona kwenye taarifa ya habari Rais wa Zanzibar anamuapisha kadhi mkuu wa Zanzibar kwani serikali inasimamia ibada za watu!?
Kwa hiyo huyo kadhi anaweza kuwa dini yoyote?Ni muajiriwa wa serikali
Maana serikali haipaswi kuajiri watu kwa kigezo cha diniNi muajiriwa wa serikali
Kama kazi zake ni hizo kwa nn asizifanyie huko msikitini kwa nini serikali ihusishwe?SMZ inamtambua kadhi na hukumu zake zinatambulika na kusimamia utekelezaji wake na pia kadhi analipwa na serikali.
Nb:Mahakama ya kadhi inashughulikia migogoro ya ndoa,talaka na mirathi kwa ndoa zilizofungwa baina ya Muislamu na Muislamu tu.
Ndoa mseto migogoro yake,talaka zake na mirathi yake inashughulikiwa na mahakama za kawaida.
pia mahakama ya kadhi haishughulikii kesi yoyote ya madai au jinai iwe baina ya Waislamu au wasiokuwa Waislamu.
Maana serikali haipaswi kuajiri watu kwa kigezo cha dini
[/QUOmajibu mjarabuKwa lugha nyepesi kabisa Kadhi ni hakimu kwa mujibu wa sheria za kiislamu,yeye anajua hukumu stahiki kwa makosa mbali mbali kwa mujibu wa muongozo wa dini ya kiislamu
Watu wanahoji je itakuwaje alipwe na serikali? Kwani mahakimu wengine hawalipwi na serikali?
Litakuja swali sasa yeye si anahukumu waislamu? Kwani hao waislamu sio wananchi wa nchi hii,inamaana wangehukumukiwa na hakimu wa kawaida wasingekuwa waislamu?
Haki ambayo ingetolewa na hakimu wa kawaida na hata kwa kadhi ingetolewa haki hiyo ila kwa mujibu wa kiislamu,kwahiyo ishu ni kutafuta ufumbuzi wa shida za watu period
Kuhusu kwanini anaajiriwa na serikali ili kumpa kadhi nguvu kimamlaka,kwa maana hata mtu akiitwa mahakamani basi anatii sheria kana kwamba ameitwa na hizi mahakama za kawaida
Kikubwa mjue pale kazi haswalishi wala kutoa mawaidha wala hafundishi uislamu kwamba mumtolee macho,yupo pale kufanya kazi za hukumu kama mahakimu wengine period,je kuna mwenye shida na hilo?
Mkuu ina maana hujui kuwa IIslamic Republic of Zanzibar (IRZ) ni serikali ya kiisalamu kama ilivyo Islamic Republic of Iran (IR Iran)Nimeona kwenye taarifa ya habari Rais wa Zanzibar anamuapisha kadhi mkuu wa Zanzibar kwani serikali inasimamia ibada za watu!?
Its good for Islam isn't it!?When Church unite with state, its not good sign
Kuna madai wanasema kwa muisilamu kuhukumuwa kesi yake na kadhi ni ibadaKwa lugha nyepesi kabisa Kadhi ni hakimu kwa mujibu wa sheria za kiislamu,yeye anajua hukumu stahiki kwa makosa mbali mbali kwa mujibu wa muongozo wa dini ya kiislamu
Watu wanahoji je itakuwaje alipwe na serikali? Kwani mahakimu wengine hawalipwi na serikali?
Litakuja swali sasa yeye si anahukumu waislamu? Kwani hao waislamu sio wananchi wa nchi hii,inamaana wangehukumukiwa na hakimu wa kawaida wasingekuwa waislamu?
Haki ambayo ingetolewa na hakimu wa kawaida na hata kwa kadhi ingetolewa haki hiyo ila kwa mujibu wa kiislamu,kwahiyo ishu ni kutafuta ufumbuzi wa shida za watu period
Kuhusu kwanini anaajiriwa na serikali ili kumpa kadhi nguvu kimamlaka,kwa maana hata mtu akiitwa mahakamani basi anatii sheria kana kwamba ameitwa na hizi mahakama za kawaida
Kikubwa mjue pale kazi haswalishi wala kutoa mawaidha wala hafundishi uislamu kwamba mumtolee macho,yupo pale kufanya kazi za hukumu kama mahakimu wengine period,je kuna mwenye shida na hilo?
Ibada ni maneno mazuri au vitendo vizuri vinavyo mpendeza Mwenyezi Mungu,kwahiyo hata hakimu wa kawaida akihukumu kwa kutenda haki stahiki ni ibada pia atalipwa na asipotenda haki kwa makusudi atalipwa kwa ubaya wake,kwahiyo hakuna shida hapoKuna madai wanasema kwa muisilamu kuhukumuwa kesi yake na kadhi ni ibada
Hilo swali mwenye uwezo wa kulijibu ni msemaji wa SMZ lakini kwa fikra zangu huenda kule Zanzibar 99% ni Waislamu ndiyo maana ilkuwa ni rahisi kuliingiza kwenye sheria za huko Zanzibar.Kama kazi zake ni hizo kwa nn asizifanyie huko msikitini kwa nini serikali ihusishwe?
Hayo umesema wewe ila waisilamu hawako comfortable kabisa kuhukumiwa na hakimu wa kawaidaIbada ni maneno mazuri au vitendo vizuri vinavyo mpendeza Mwenyezi Mungu,kwahiyo hata hakimu wa kawaida akihukumu kwa kutenda haki stahiki ni ibada pia atalipwa na asipotenda haki kwa makusudi atalipwa kwa ubaya wake,kwahiyo hakuna shida hapo
Una udhibitisho? Na kwa idadi gani ya watu ulio wasikiaHayo umesema wewe ila waisilamu hawako comfortable kabisa kuhukumiwa na hakimu wa kawaida
Serikali ya mapinduzi inafuata mfumo wa kiislamu ndiyo maana Mwinyi hata kwenye maafa Kariakoo hakujaNimeona kwenye taarifa ya habari Rais wa Zanzibar anamuapisha kadhi mkuu wa Zanzibar kwani serikali inasimamia ibada za watu!?