Inakuwaje Rais wa Zanzibar kumuapisha kadhi? Kwani serikali inasimamia ibada?

Mkuu umesma, ila hiyo ni miongoni mwa sheria zilizotungwa. Zanziibar haitumii sheria law perse.
 
Kwani serikali inateua bakwata!?
Munge muuliza nyerere.
Alitafuta njia ya kuwadhibiti waisilamu.
Ndio ikaundwa Bakwata na viongozi wake wanachaguliwa na kukubalika na serikali.

Huo ni haya kwenye dini nyingine.
Hakuna Christian community ambayo ipo ndani ya serikali na wenyewe hawa kupiga kelele sababu wanajuwa hivi ndivo sahihi kuwadhibiti waisilamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…