Inakuwaje safari ya Rais inagharamiwa na Wananchi wachache ambao hawataji majina yao? Je, haya sio mazingira ya kulipana fadhila kwa ufisadi?

kwani mtu akisema ukweli kuna tatizo, sasa wewe tuambie alipata nini?
Hakuna huo umuhimu wa kutangaza afya ya mtu mitandaoni.

Wewe kwani unapoharisha huwa unapost hapa JF??
 
Rais ni kiongozi wa kitaifa, ni Lazima wananchi wajue afya yake na haki hiyo ipo kikatiba. - sema tulifichwa mwanzo but now we know..
 
Samia ni mwizi na kibaraka wa wazungu.
Mwizi ni mfalme wenu ambaye mbele ya Watanzania alijitakasa kumbe nyuma ya pazia ni jambazi lisilokuwa linatumia silaha (walijisemea wabunge). Zile pesa za plea bargain DPP aliyedondoshwa na Mfalme wanajua zilipo. Imeonekana hazijukikani zilipo. Tuanzie hapa jambazi ni Nani? Mwache kabisa Rais wetu Samia Suluhu Hassan atuongoze. Mlitutesa Sana na unafiki wenu. Kazwikweni naye.
 
Sukuma gang mnateseka sana mwaka huu! Na bahati mbaya kwwnu safari ndio kwanza imeanza...Mama has 8 more years to go so you will have to deal with it! Huu upuuzi unaouliza uliwahi jiuliza wakati serikali inajenga uwanja wa ndege Chato hiyo hela iliyoongezeka nje ya bajeti ilitoka wapi? Na kwanini kampuni ya mhusika tena isiyo na uzoefu ndio ipewe tenda ya ujenzi uliokuzwa thamani?

Uliwahi kuuliza kwanini Tanroad watu wa mabarabara wapewe tender ya kuagiza mtambo wa sukari na kuingia mitini baada ya kulipwa hela?
Hebu punguza kelele, leo wasukuma tunasikiliza wizara yetu ya madini, wengine hata madini maeneo yenu ni ardhi tupu.Tunamsikiliza BITEKO kujua maslahi yetu. Sisi ndiyo nchi na nchi ni sisi unaijua CSR weewe?????????
 
Rais anaenda kukaa USA zaidi ya wiki mbili.

Huko anaenda kufanya shughuli za kiserekali na kubwa zaidi ni Uzinduzi wa filamu ya royal tour.

Kila siku tunaambiwa hii filamu ilitengenezwa kwa pesa kiasi cha bil 7 na sio pesa za Serikali.

Sisi akina Kabwela tukajua ni pesa za akina Greenberg na kampuni yao yao CBS.

Baadae mkuu wa nchi anaibuka akiwa jijini Arusha na kudi kuwa ni pesa zilizochangwa na watanzania.

Je, ni akina nao waliochanga kimya kimya ili kufanikisha Royal tour?

Je, wamejitolea bila hata kutegemea chochote?

Kwa nini zisitumike pesa za Umma? Au ndio kuandaa mazingira?
Acha upotoshaji sukumagang, alichosema Mazaa ni kwamba Royal Tour imegharimiwa na watu, wa ndani na wa nje, ili hiyo movie itumike kutangaza utalii!
 
Rais anaenda kukaa USA zaidi ya wiki mbili.

Huko anaenda kufanya shughuli za kiserekali na kubwa zaidi ni Uzinduzi wa filamu ya royal tour.

Kila siku tunaambiwa hii filamu ilitengenezwa kwa pesa kiasi cha bil 7 na sio pesa za Serikali.

Sisi akina Kabwela tukajua ni pesa za akina Greenberg na kampuni yao yao CBS.

Baadae mkuu wa nchi anaibuka akiwa jijini Arusha na kudi kuwa ni pesa zilizochangwa na watanzania.

Je, ni akina nao waliochanga kimya kimya ili kufanikisha Royal tour?

Je, wamejitolea bila hata kutegemea chochote?

Kwa nini zisitumike pesa za Umma? Au ndio kuandaa mazingira?
Nyankurungu mada gan Hiii, ni Bora ukachimbe madini kwenu ilindi mwime.
 
Rais anaenda kukaa USA zaidi ya wiki mbili.

Huko anaenda kufanya shughuli za kiserekali na kubwa zaidi ni Uzinduzi wa filamu ya royal tour.

Kila siku tunaambiwa hii filamu ilitengenezwa kwa pesa kiasi cha bil 7 na sio pesa za Serikali.

Sisi akina Kabwela tukajua ni pesa za akina Greenberg na kampuni yao yao CBS.

Baadae mkuu wa nchi anaibuka akiwa jijini Arusha na kudi kuwa ni pesa zilizochangwa na watanzania.

Je, ni akina nao waliochanga kimya kimya ili kufanikisha Royal tour?

Je, wamejitolea bila hata kutegemea chochote?

Kwa nini zisitumike pesa za Umma? Au ndio kuandaa mazingira?
NAPITA. MAGUMU HAYO
 
Wewe jamaa ni mpuuzi sana sijui ulisoma.wapi na ulisomea nini? Kwa hiyo ulitaka aseme na kuwataja majina?
Mbona hukuwa na wasiwasi yule raisi wenu fedhuli bwana magufuli waliosema uchafuzi/ uchaguzi wa 2020 ulifanyika kwa pesa za watz wenyewe!
Aliwataja? Wakati mwingine unapaswa kuficha ujinga bhana sio unaropoka kama yule chizi mwendazake
 
Mashoga mmekuwa wasumbufu sana. Hivi mabasha wamepungua?
 
Back
Top Bottom