Kiwarhoapandenga
JF-Expert Member
- Aug 10, 2019
- 2,078
- 1,805
Wewe kinakushangaza nini upo Tanzania na kuna baadhi ya vitu vinalipiwa kwa dollar mfano majumba ya kupanga haya mahekalu hawalipishi shilingi kitu ambacho huwezi kutana nacho Ulaya ,Asia nk ndio maajabu yanayopatikana TzNa ukiwa China mtu mgeni (Foreigners) hata raia si ruhusa kuchezesha kamari ni serikali tu.
huku Kwetu lazima kuna viongozi wana neemeka. Hizi kamali zipo sana vijijini watu walikolala.
shamba la bibi
Sent using Jamii Forums mobile app