Inakuwaje Steve Nyerere anaongoza Protocol ya Ikulu?

Heparin

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2021
Posts
242
Reaction score
1,141
Oktoba 28, 2024 katika msiba wa msaidizi wa Mwamposa, Steven Mengele maarufu kama Steve Nyerere alitambulishwa kama mtu anayeongoza protocol Ikulu pale msibani.

Ilikuwa bahati mbaya au ni uhalisia? Bado nawaza!

Your browser is not able to display this video.
 

Mbona wanaikosesha hadhi ikulu hadi kuongozwa na wasanii wa kitaa[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Oktoba 28, 2024 katika msiba wa msaidizi wa Mwamposa, Steven Mengele maarufu kama Steve Nyerere alitambulishwa kama sehemu ya protocol Ikulu.

Ilikuwa bahati mbaya au ni uhalisia? Bado nawaza!

Makosa makubwa kuwaendekeza hawa walaghai. Hakuna Steven Nyerere. Huyu ni steven Mengele mwizi wa jina la Nyerere. Kina Madaraka na Makongoro mshitakini huyu mahakamani. Sasa anajidai eti amekuza jina la Nyerere. Mshenzi sana.
Tuliona jinsi alitumika kunadi kupewa bandari zetu zote kumilikiwa na dubai kama mali yao huku anajiita steve nyerere. Hakika tulichukia sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…