Inakuwaje Steve Nyerere anaongoza Protocol ya Ikulu?

Inakuwaje Steve Nyerere anaongoza Protocol ya Ikulu?

Chief of Protocol from Tanzania State House, hivi umewahi kuelewa? Ikiongozwa na ... Means yeye ndio Chief in Charge of Protocol ngoja nipite hivi
Sijaelewa ndio maana nikauliza swali, kuna mtu maalumu mwenye hicho cheo,? Je ipo kisheria kwamba lazima awe fulani?
 
Oktoba 28, 2024 katika msiba wa msaidizi wa Mwamposa, Steven Mengele maarufu kama Steve Nyerere alitambulishwa kama mtu anayeongoza protocol Ikulu pale msibani.

Ilikuwa bahati mbaya au ni uhalisia? Bado nawaza!

Ikulu siku hizi ni ya kila chawa, Abdul, Steve, Mpoto, Shilole, nk nk
Mpaka Lugumi kufunguwa utajiri alioupata kwa hela za mlipa kodi!.
Wahuni, chawa, wasanii, wasagaji...
Hovyo hovyo hovyo hovyo.....
 
Uelewa wako unakuongaza hivyo ila unaota
Ikulu ni ofisi nyeti sana na wewe unajua ila uchawa unawafumba macho.
Ikulu haiwezi kuwa sehemu nyeti mkuu, sehemu nyeti hata hazijulikani,vita vikianza rais' uhama ikulu na kwenda sehemu nyeti
 
This is comical.
Lakini hao watu ni wasanii. What else can you expect?
At one time tulikuwa tunasema watu wote wanakaribishwa katika familia ya Nyerere.
 
1000014489.jpg
 
Back
Top Bottom