Inakuwaje Steve Nyerere anaongoza Protocol ya Ikulu?

Inakuwaje Steve Nyerere anaongoza Protocol ya Ikulu?

Ikulu ni makazi ya mtu aliyepewa dhamana ya kuwaongoza jamii,acha kuitukuza ikulu kana kwamba ni nyumba ya mungu
Ikulu ni mahali patakatifu - Julius Nyerere.

Ukiona matajiri wanaingia na kutoka mahali hapo ujue nchi ipo mifukoni mwa wauza madawa ya kulevya.
 
Kama kuna Member ambaye nakubali kuwa na IQ Kubwa hapa JamiiForums basi ni Wewe Mkuu. Hujakosea huyo Jamaa Steve Nyerere ndiyo alikuwa Pimp (Kuwadi) wa Mzee wenu (Yanga SC Daima) aliyekutwa na tatizo la Tezi Dume kwa tabia yake ya kwenda Safari za Yombo Buza kwa Mpalange na Wanawake aliokuwa akiwapenda (akiwemo yule wa Mwanza aliyekuja pia Kutunga hadi na Wimbo wake) ila kwa bahati mbaya sana huyu Jamaa pamoja na Kukuwadia Wakubwa wengi ili apate Fedha na ambazo kweli alizipata na kuwa na Maendeleo ya hapa na pale ila nae hiyo Dhambi yake ikamlaani ambapo nae kwa sasa kila Siku za Jumanne na Ijumaa lazima aende katika Dirisha la Hospitali yoyote Dar es Salaa kuchukua Dawa zake za Dally Kimoko Virus au Matumaini Virus.
Ni watoto wa mjini pekee wanaoweza kuzifungua hizi codes ulizoandika tena wenye umri fulani uliosogea sio hawa watoto wa instagram na Iphone 14.
 
Kwamba hujaelewa nini hapo?

Au unatafuta maneno?
 
Nyerere alikua na chuki kwa matajiri,mjamaa deep down, ujamaa ni ufukara
Ujamaa unahusishwa na umaskini huku afrika lakini Ulaya ya kaskazini karibu nchi zote zinatumia sera za kijamaa kwa miaka mingi. Norway, Finland na Norway wanazo sera za kijamaa katika uchumi wao.

Tatizo la Tanzania ni la kiafrika zaidi, ubinafsi mwingi na siasa zinazojaa ulaghai.
 
Kawaida sana

Rostam Aziz na Bashe waliiwakilisha CCM kwenye mazishi ya Waziri Mkuu wa zamani mh Lowassa 🐼

Yah right waliwakilisha CCM ..... hapa wanazungumzia Ikulu. Kama angekuwa ni mwajiriwa wa serikali tungekuelewa.

Hii serikali ya Kizimkazi ina mambo kweli kweli.
 
Ujamaa unahusishwa na umaskini huku afrika lakini Ulaya ya kaskazini karibu nchi zote zinatumia sera za kijamaa kwa miaka mingi. Norway, Finland na Norway wanazo sera za kijamaa katika uchumi wao.

Tatizo la Tanzania ni la kiafrika zaidi, ubinafsi mwingi na siasa zinazojaa ulaghai.
Hata ulaya nchi za kijamaa ni masikini,akina bulgaria, romania etc
 
Yah right waliwakilisha CCM ..... hapa wanazungumzia Ikulu. Kama angekuwa ni mwajiriwa wa serikali tungekuelewa.

Hii serikali ya Kizimkazi ina mambo kweli kweli.
Ikuluni wamo wanaojulikana na wasiojulikana 😂😂🔥
 
Uelewa wako unakuongaza hivyo ila unaota
Ikulu ni ofisi nyeti sana na wewe unajua ila uchawa unawafumba macho.
Shida yetu watanzania kila mmoja anajua mambo kuliko mwenzake, na kila mmoja anajua siri za nchi na jinsi inavyoongozwa na taratibu zake zote kuliko mwingine, na ndio maana mtu akiulizwa swali, badala ya kujibu anakimbilia kuanza kumuona mwenzake punguani hana akili na uelewa

Hongera wewe genius
 
Back
Top Bottom