Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Ana msaidia maza kupata waganga wakaliOktoba 28, 2024 katika msiba wa msaidizi wa Mwamposa, Steven Mengele maarufu kama Steve Nyerere alitambulishwa kama mtu anayeongoza protocol Ikulu pale msibani.
Ilikuwa bahati mbaya au ni uhalisia? Bado nawaza!
Kuwadi mwandamizi
Unaelewa maana ya Kuwakilisha?Uongo mtakatifu ...mbona Kikwete alienda?
Ikulu ni mahali patakatifu - Julius Nyerere.Ikulu ni makazi ya mtu aliyepewa dhamana ya kuwaongoza jamii,acha kuitukuza ikulu kana kwamba ni nyumba ya mungu
Ni watoto wa mjini pekee wanaoweza kuzifungua hizi codes ulizoandika tena wenye umri fulani uliosogea sio hawa watoto wa instagram na Iphone 14.Kama kuna Member ambaye nakubali kuwa na IQ Kubwa hapa JamiiForums basi ni Wewe Mkuu. Hujakosea huyo Jamaa Steve Nyerere ndiyo alikuwa Pimp (Kuwadi) wa Mzee wenu (Yanga SC Daima) aliyekutwa na tatizo la Tezi Dume kwa tabia yake ya kwenda Safari za Yombo Buza kwa Mpalange na Wanawake aliokuwa akiwapenda (akiwemo yule wa Mwanza aliyekuja pia Kutunga hadi na Wimbo wake) ila kwa bahati mbaya sana huyu Jamaa pamoja na Kukuwadia Wakubwa wengi ili apate Fedha na ambazo kweli alizipata na kuwa na Maendeleo ya hapa na pale ila nae hiyo Dhambi yake ikamlaani ambapo nae kwa sasa kila Siku za Jumanne na Ijumaa lazima aende katika Dirisha la Hospitali yoyote Dar es Salaa kuchukua Dawa zake za Dally Kimoko Virus au Matumaini Virus.
Ukitaka kufanikiwa maishani uwe karibu na wazee, hakuna kijiji au mji unaofanikiwa bila ya uwepo wa wazee.Usiamini sana wazee
Nyerere alikua na chuki kwa matajiri,mjamaa deep down, ujamaa ni ufukaraIkulu ni mahali patakatifu - Julius Nyerere.
Ukiona matajiri wanaingia na kutoka mahali hapo ujue nchi ipo mifukoni mwa wauza madawa ya kulevya.
Wazee wafuate kwa ajili ya uchawi tuUkitaka kufanikiwa maishani uwe karibu na wazee, hakuna kijiji au mji unaofanikiwa bila ya uwepo wa wazee.
Tumpumzishe kwa lipi?Havunji sheria za nchi, mpumzisheni kidogo.
Ujamaa unahusishwa na umaskini huku afrika lakini Ulaya ya kaskazini karibu nchi zote zinatumia sera za kijamaa kwa miaka mingi. Norway, Finland na Norway wanazo sera za kijamaa katika uchumi wao.Nyerere alikua na chuki kwa matajiri,mjamaa deep down, ujamaa ni ufukara
Kawaida sana
Rostam Aziz na Bashe waliiwakilisha CCM kwenye mazishi ya Waziri Mkuu wa zamani mh Lowassa πΌ
Hata ulaya nchi za kijamaa ni masikini,akina bulgaria, romania etcUjamaa unahusishwa na umaskini huku afrika lakini Ulaya ya kaskazini karibu nchi zote zinatumia sera za kijamaa kwa miaka mingi. Norway, Finland na Norway wanazo sera za kijamaa katika uchumi wao.
Tatizo la Tanzania ni la kiafrika zaidi, ubinafsi mwingi na siasa zinazojaa ulaghai.
Ikuluni wamo wanaojulikana na wasiojulikana πππ₯Yah right waliwakilisha CCM ..... hapa wanazungumzia Ikulu. Kama angekuwa ni mwajiriwa wa serikali tungekuelewa.
Hii serikali ya Kizimkazi ina mambo kweli kweli.
Shida yetu watanzania kila mmoja anajua mambo kuliko mwenzake, na kila mmoja anajua siri za nchi na jinsi inavyoongozwa na taratibu zake zote kuliko mwingine, na ndio maana mtu akiulizwa swali, badala ya kujibu anakimbilia kuanza kumuona mwenzake punguani hana akili na uelewaUelewa wako unakuongaza hivyo ila unaota
Ikulu ni ofisi nyeti sana na wewe unajua ila uchawa unawafumba macho.
Just brilliant! πππWhen a clown goes to the palace he doesn't become king, but the palace becomes a circus.
Ikuluni wamo wanaojulikana na wasiojulikana πππ₯
Wewe unawajua wote?! π€£Mangele siyo kati ya hao!
Wewe unawajua wote?! π€£
Huo utaahira wake ambao wewe huna ndio kipengere kilichohitajikaPamoja na mapungufu yake Ikulu siyo dampo la Matahahira.