Inakuwaje timu mbovu ya Arsenal iongoze ligi ya Uingereza hadi sasa? Top team za EPL zinakosea wapi?

Mimi nilidhani ungemaliza andiko lako kwa kutaka majibu ya swali lako. Lkn cha kushangaa umehitimisha mwenyewe. Nashauri JF iangalie uwezekano wa kukagua CV wakati members wanajisajili ili kuepusha uandishi duni kama huu

mwamba anateseka sana
 

Haijakutana na vigogo katika huu mzunguko, itashushwa tu hadi nafasi ya tatu au nne ligi itakapomalizika .
 
Wa Arsenal, huwa mna matusi kweli!
---
Kwa mwaka huu, Arsenal wapo vizuri sana! Na uongozi wao, haujaanza baada ya kombe la Dunia!
MCHAWI MCHUKIE, LAKINI SIFA ZAKE MPE!!! !
Mimi hata sina ushabiki wa mpira ila nimesema ninachokiona tu
 

We kenge unateseka kutokea wapi ?
 
Mleta mada. Kwa comments hizi itakubidi uwe hodari kweli kweli maana wananzengo inaonekana wamechafukwa hatari...

Arsenal imechekwa miaka na miaka. Nawaombea ikiwezekana mwaka huu wachukue ubingwa wa EPL
 
Leta timu yako ikandwe
 
Kwa sababu timu zingine Ni takataka kabisa
 
Arsenal ndani ya mechi tano zijazo atapata point 4 tu. Gemu 3 atachapwa, Gemu 1 atadroo na gemu 1 atashinda
 
Japo tumebebwa ila ManU Leo tumeshinda ManCity. muda si mrefu Arsenal panapovuja tutaona
 
Huwa inatokea mara moja moja
Hata Leicester City ilikuwa hivi hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…