Martinell alipopewa nafasi ya kufanya trial pale carrington manchester united makocha walimtimua baada ya dkk mbili za kwanza za mazoezi kutokana na first touch mbovu ya mpira
Arsenal ni kama Yanga tu. Wanawachezaji wenye morali kiwango cha lami, sio kwamba wana best players. Morali ikikata ndo kama hivo tena. Bora Yanga wameweza kumaintain morali yao mpaka mwisho. Tukutane next season