Inakuwaje timu mbovu ya Arsenal iongoze ligi ya Uingereza hadi sasa? Top team za EPL zinakosea wapi?

Inakuwaje timu mbovu ya Arsenal iongoze ligi ya Uingereza hadi sasa? Top team za EPL zinakosea wapi?

LW White ukimtazama vizuri ni km ana mtindio wa ubongo [emoji16]
 
Martinell alipopewa nafasi ya kufanya trial pale carrington manchester united makocha walimtimua baada ya dkk mbili za kwanza za mazoezi kutokana na first touch mbovu ya mpira

Arsenal ikajiokotea [emoji16]
 
Arsenal imequalify kwenye Europa league naona congratulations [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Gift orban: naihusudu ligi ya uingereza ila siipendi arsenal ni timu ya watu wasiojitambua inaonekana kushinda Epl kwao sio kipaumbele [emoji16]

Nazipenda manchester united na liverpool
 
Arsenal vile vichezaji vyote ni third selection kwa timu kubwa
 
Xhaka linacheza km [emoji464] rugby control ya mpira ni chumba[emoji16]
 
Gabriel jesus analamba milion mianane kwa wiki [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Arsenal buana
 
Partey analamba milion miasaba kwa wiki[emoji16]

Arsenal buana
 
Nketiah eti analamba milion miatano kwa wiki

Hivi hii timu unajitambua?[emoji16]
 
Saka ndio linaanza kulipwa bilion moja na nusu kwa wiki jamani nyie[emoji16]
 
Arsenal ni kama Yanga tu. Wanawachezaji wenye morali kiwango cha lami, sio kwamba wana best players. Morali ikikata ndo kama hivo tena. Bora Yanga wameweza kumaintain morali yao mpaka mwisho. Tukutane next season
 
Arsenal nawashauri msiende uefa jitoeni kule itakuwa kila baada ya dkk tano mpira unajaa kunyavu[emoji16]
 
Back
Top Bottom